Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au wall kama ile ya Jangwani.Lakini pale wameandika Bridge work in progress.

Iyo ni flyover msipate tabuu kuwaza Sanaa manake hapo mikumi kuna njiia flani inaingia kwa she yahya inakatiza kigogo road iyo njia, iyo njia nikidhani ndio wanaenda kuiua bcoz itakua inakatiza kwenye Barbara ya mwendokasi thats y wanajenga iyo flyover hapo
 
🤣🤣🤣🤣🤣
D9C4EA9D-5632-48AC-91D4-A076541A309A.jpeg
 
Yaani hizi upuzi ndo hawa watu walikua wanalilia eti flyover 😏😳😳😳 they made me think flyover is something that maybe sijui. If it's that the si we have almost 60 of this stuff nkt
😂😂😂 Simba unakuaga muongo muongo wewe, flyover zote mpya zinazotajwa humu kwamba they are underway ni kama ile flyover ya tazara, haya mtuambie flyover aina kama ya tazara uko kwenu zipo ngapi.? Hatuzungumzii vile vi calvat vyenu, barabara ya kimara kibaha inavyo ivyo vi calvat kibao na hutoona mtanzania akivutaja humu
 
Back
Top Bottom