Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0046.jpg

IMG_0045.jpg
 
kuna wenzako tukileta wikipedia wananuna .. anyway mmeona lower middle income status hapa kwa Tanzania!?
afu kipindi cha Magu (2016-2019) rate yetu si ilikuwa inacheza juu ya 6.. anyway i know nothing about economy!
That's why I told you....you should force your government to do more in education,not praise it here and it's literally doing nothing
 
Kenya's are ruthless to their government,no wonder haujui your loans labda tukuambie...by the way Tanzania ndo nchi pekee inasifu Serikali yap hii EAC
 
kuna wenzako tukileta wikipedia wananuna .. anyway mmeona lower middle income status hapa kwa Tanzania!?
afu kipindi cha Magu (2016-2019) rate yetu si ilikuwa inacheza juu ya 6.. anyway i know nothing about economy!
Wikipedia ikiwaandika vizuri huwa ni source ya uhakika ila ikiwaandika vibaya huwa wanasema Wikipedia sio source ya kuaminika
 
Kenya's are ruthless to their government,no wonder haujui your loans labda tukuambie...by the way Tanzania ndo nchi pekee inasifu Serikali yap hii EAC
Wapi matokeo ya hizo ruthless mbona kila siku afadhali ya jana!

Hivi kweli unaweza sifu serikali inayotegemea chakula cha misaada karne hii kulisha wananchi wake?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali iliyoruhusu wazungu na wanasiasa wachache kumiliki ardhi kubwa zenye rutuba huku makajamba nani mkiachwa bila kitu?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali inayokumbatia ukabila?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali huku kukiwa na rate kubwa ya unemployment?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali iliyojaa rushwa na ufisadi kila kona?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali iliyokubali kujengewa treni za 60s karne hii?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali inayochukua mikopo kibao halafu nusu ya mikopo inaenda mifukoni mwa watu wachache?

Hivi kweli unaweza kusifu serikali iliyoshindwa kutokomeza police brutality?

Karibu jf...huku unafinywa
 
eti tz kuna angalau taa.. sasa kwako!?.. ni nchi gani inayo angaza zaidi usiku EA . less wee ni kipofu.
Last Mile Project sio mchezo babake.. sahivi tunafanya kitu inaitwa City-to-City-Jointing sawa na model ya SA. this is a 2021 Satelite Image by da way
2021_08_08_01.13.38.jpg
 
eti tz kuna angalau taa.. sasa kwako!?.. ni nchi gani inayo angaza zaidi usiku EA . less wee ni kipofu.
Last Mile Project sio mchezo babake.. sahivi tunafanya kitu inaitwa City-to-City-Jointing sawa na model ya SA. this is a 2021 Satelite Image by da wayView attachment 1884777
this is just, one of the few elements or indicators of having a larger sophisticated economy than our rival neighbour 😆
 
Kenya's are ruthless to their government,no wonder haujui your loans labda tukuambie...by the way Tanzania ndo nchi pekee inasifu Serikali yap hii EAC
Danganyikans are very stupid. How do you praise government? Unasifu serikali kwa nini na unalipa tax. You deserve government services coz u pay for them.
 
Back
Top Bottom