Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi mbwa nawaambia 2022 lazima ziuwane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado mnapiga lilelile dua likabuma 2017[emoji1787][emoji1787]
 
Mitaa mikubwa miwili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1012677361.jpg
 
Sasa mbn tunaongoza EA kwa miradi ya pesa nyingi, miradi ya kisasa, electrical SGR, cable stayed bridges, BRT system, biggest hydroelectric power, yn miradi yote hiyo nmetaja huko kwenu ni ndoto za alinacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mumezinduka sai sio[emoji1787][emoji1787]
 
Kenya jmn kuna vituko sn ckuwa najua before, yn tunavyozd kuwapa stress ndio wanavyozd kujiexpose, leo kaleta a.k.a mitaa mikubwa miwili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mumezinduka sai sio[emoji1787][emoji1787]
Hivyo vyote nilivyovitaja havitatokea Kenya kwa miaka 500 mana hakuna mzungu mtamuomba mkopo akawapa kwa ajili ya kujenga vitu vya inclusive economy km hivyo, never, so ili muwe navyo inabd mjipinde wenyewe kitu ambacho hamjazoea na hamuwezi miaka 700[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
External borrowing is more favourable conpared to internal borrowing this will prevent stifling of the local econony hence avoiding liquidity crunch. The good example of liquidity crunch we see in Kenya where a big percentage of local revenues are being used to service loans leaving the govt with fewer options in budget financing. Kenya at the moment cannot implement a single project without borrowing hence effectively putting the country in a debt trap.
We jamaa kumbe jinga sana, hili halihitaji uwe mwanauchumi kulingamua mzee
 
Teargas leo umenchekesha sn, kwamba ndio mmewawekea mitaa mikubwa miwili wenzenu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1878437
Hahaha I didn't know hii picha itakupea pressure hivi, ona venye kibera kumewaka. I'm sure huezipata that in Ubungo😂😂😂🤣
 
Walikuwa hawajui ila now they know kwamba kwa jirani kuna mama anapika vzr kuliko mama yao sasa ndo akili imewajia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamaanisha wako denial stage [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli Wakenya ni wachafu sn, kwahiyo wewe hapa ndo unaona pasafi hapa, kweli mnakazi sn ningeshauri muanze kusoma usafi toka primary schools itawasaidia kujua maana ya usafi, mtu anaona hapa pasafi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1878408
Was showing you the next day after the picture sasa hivi si umeiona hadi miti imepandwa kwani wewe huna macho??? Si nimeona umetagiwa
 
Back
Top Bottom