Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JNIA has a runway ya 3000m while JKIA has 4,500m. JNIA Ni level ya Kisumu kijana 😂😂😂
Unaelewa kwa nini Nairobi au Kilimanjaro zina runway ndefu kuliko Dar? Jibu ni altitude.

Ukiwa karibu na usawa wa bahari, hewa ni nzito (density) hivyo ndege hahiitaji runway ndefu sana kuweza kupaa. Nairobi iko juu sana kutoka usawa wa bahari kulinganisha na Dar, hivyo kuwa na low air density ambayo inapunguza thrust (na lift) ya ndege kupaa haraka. Ndiyo sababu ya kuwa na runway ndefu....
 
Tenwek High School form one admission jana.., wazazi wamepeleka watoto shule..,
IMG-20210803-WA0000.jpg
 
What a fool ...usingie kweny ubishani ambao hata kuelewa ni ziro foool...unarukaruka kama chizi....ivi kuna faida gn ya kuwa na value alafu huna purchesing power...yani hata neno purchesing power parity unaona km ni kitu kikubwa [emoji23][emoji23][emoji23] zuzu la karne...peleka ujinga wako kibera fukara ww
Sio purchesing you baboon, ni purchasing.., kama kuandika ndio balaa ni nini unaelewa wewe? Hapa usiseme eti ni typing error, ni ignorance on display, umebonyeza neno baada ya nyingine.., afadhali ungeweka auto correct mode., nyambaff, matunda ya elimu hafifu😂😂😜

So what is your point? The issue that was being debated here ilikua how your clueless govt has managed to borrow externally 71% and internally 28%., what is the economic sense in such a stupid move? argue along those lines wacha kuruka ruka na vijisababu ukionyesha mapungufu yako, mko wengi tu humu..,
 
Unaelewa kwa nini Nairobi au Kilimanjaro zina runway ndefu kuliko Dar? Jibu ni altitude.

Ukiwa karibu na usawa wa bahari, hewa ni nzito (density) hivyo ndege hahiitaji runway ndefu sana kuweza kupaa. Nairobi iko juu sana kutoka usawa wa bahari kulinganisha na Dar, hivyo kuwa na low air density ambayo inapunguza thrust (na lift) ya ndege kupaa haraka. Ndiyo sababu ya kuwa na runway ndefu....
Mpe somo chokoraa tuu huyo
 
Sio purchesing you baboon, ni purchasing.., kama kuandika ndio balaa ni nini unaelewa wewe? Hapa usiseme eti ni typing error, ni ignorance on display, umebonyeza neno baada ya nyingine.., afadhali ungeweka auto correct mode., nyambaff, matunda ya elimu hafifu[emoji23][emoji23][emoji12]

So what is your point? The issue that was being debated here ilikua how your clueless govt has managed to borrow externally 71% and internally 28%., what is the economic sense in such a stupid move? argue along those lines wacha kuruka ruka na vijisababu ukionyesha mapungufu yako, mko wengi tu humu..,
External borrowing is more favourable conpared to internal borrowing this will prevent stifling of the local econony hence avoiding liquidity crunch. The good example of liquidity crunch we see in Kenya where a big percentage of local revenues are being used to service loans leaving the govt with fewer options in budget financing. Kenya at the moment cannot implement a single project without borrowing hence effectively putting the country in a debt trap.
 
Unaelewa kwa nini Nairobi au Kilimanjaro zina runway ndefu kuliko Dar? Jibu ni altitude.

Ukiwa karibu na usawa wa bahari, hewa ni nzito (density) hivyo ndege hahiitaji runway ndefu sana kuweza kupaa. Nairobi iko juu sana kutoka usawa wa bahari kulinganisha na Dar, hivyo kuwa na low air density ambayo inapunguza thrust (na lift) ya ndege kupaa haraka. Ndiyo sababu ya kuwa na runway ndefu....
ata Songwe na Mwanza airports pia!
 
Your excuse is lame and soberless. Mombasa has longer runway than JNIA, which excuse do you have about that 😂😂
 
External borrowing is more favourable conpared to internal borrowing this will prevent stifling of the local econony hence avoiding liquidity crunch. The good example of liquidity crunch we see in Kenya where a big percentage of local revenues are being used to service loans leaving the govt with fewer options in budget financing. Kenya at the moment cannot implement a single project without borrowing hence effectively putting the country in a debt trap.
Do you realize that hakuna sense umemake hapa hata kidogo? 😂😂
 
Sasa mbn tunaongoza EA kwa miradi ya pesa nyingi, miradi ya kisasa, electrical SGR, cable stayed bridges, BRT system, biggest hydroelectric power, yn miradi yote hiyo nmetaja huko kwenu ni ndoto za alinacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Please wake up.

image_52717f69-6116-4c88-8d58-fa54c1b9cdaf20210323_064236.jpg

13144378_fbimg1613372094479_jpeg574da9dcad87218efe9ba9600446495b.jpeg
 
Back
Top Bottom