babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Alaaa [emoji23][emoji23][emoji23]My mother is the best in cooking mentality [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alaaa [emoji23][emoji23][emoji23]My mother is the best in cooking mentality [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikuwa hawajui ila now they know kwamba kwa jirani kuna mama anapika vzr kuliko mama yao sasa ndo akili imewajia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Sana😂😂😂👇👇Hawa hapa wenye mandate wanasema Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi+Congo combined haziifikii Tz kwa millionaires[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1878251
Kwamba hii ushaikubali au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule mhindi ama nani?😂😂😂Pia usisahau billionaire yupo mmoja tu EA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado unaimba pambio ya kwa "pesa za ndani".., ila ukweli ni ati uchumi wenu ni hafifu, ata kushughulikia mahitaji ya budget haiwezi😂😂😂😂.,Wakunya msisahau pia tunajenga Ikulu kubwa duniani ipo pale Dodoma kwa pesa za ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kakasirika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mhindi ama nani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Budget yenu inayofadhiliwa over 80% au unaongelea budget gn, tena usiongelee kabisa kuhusu budget nitakuaibisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado unaimba pambio ya kwa "pesa za ndani".., ila ukweli ni ati uchumi wenu ni hafifu, ata kushighukikia mahitaji ya budget haiwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
😂😂😂😂😂😂😂kilaza, hapo jibu haupati, ni ukweli mchungu😂😂😂Hizi ngonjera zote umeweka hapa nenda kawaulize hawa waliosema Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi+Congo combined haziifikii Tz, hawa hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1878268
.. typical Tanzanian reasoning, usijaribu kugeuza, hiyo ni yenyu kabisa😂😂😂My mother is the best in cooking mentality [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaacha lini arguing without facts?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kilaza, hapo jibu haupati, ni ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23]
I don't do outdated data😂😂👇👇Kwamba hii ushaikubali au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1878275
Are you aware that Kenyan tax revenue can finance your budget na change ibaki?😂😂Budget yenu inayofadhiliwa over 80% au unaongelea budget gn, tena usiongelee kabisa kuhusu budget nitakuaibisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huna jibu😂😂Kakasirika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Argue with facts on the tableAnother useless post.
hata hivyo runway ya JKIA ipo vizuri si ndogo,,Unaelewa kwa nini Nairobi au Kilimanjaro zina runway ndefu kuliko Dar? Jibu ni altitude.
Ukiwa karibu na usawa wa bahari, hewa ni nzito (density) hivyo ndege hahiitaji runway ndefu sana kuweza kupaa. Nairobi iko juu sana kutoka usawa wa bahari kulinganisha na Dar, hivyo kuwa na low air density ambayo inapunguza thrust (na lift) ya ndege kupaa haraka. Ndiyo sababu ya kuwa na runway ndefu....
ushamba haujakuacha salamaTenwek High School form one admission jana.., wazazi wamepeleka watoto shule..,
View attachment 1878075