Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapa kwa wachina hawachomoki [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji41]
safi sana wachina!
National Treasury wanakuambia Kenya debt servicing kufikia 35% of her budget this year! na itapanda pale G20 grace period lapses! sishangai iki-cross 50% of whole budget allocation!

The funny thing Tanzania is having mega projects but has avoided kukopa kipuuzi!
 
Leo mmemrambisha dawa kilazima, eti anampa kongole uhuru kwa kukopa mpk red line, kweli akili wengine zipo kwenye makalio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania madeni ya nje ndio mengi kuliko kenya, km unabisha sema nikuumbue sai
 
Sasa nianze kushindana na wewe kwenye Airpot si nitakuwa kichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
images.jpeg-78.jpg
254748637942_status_12e54151f95843f5a7fa18b99a936db6.jpg
 
Shame is a country as big as Tanzania having only 9,000km of paved roads [emoji23][emoji23][emoji23]
Tz has more than 9000km of paved roads while kenya has only 4700km of paved roads and 7000km of improved roads
 
Jamaa amekasirika tayari[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. JKIA runway length is 4500m while JNIA is 3000m, I think you don't need two brains to know which is longer. Sasa nangoja tusi moja nzito kutoka kwako[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mpuuzi hyo[emoji1787][emoji1787]
Hajui kwanza runway length ndio kila kitu before anything else
 
Hili jambo huwa linafanya nione hili bara bado tupo stone age, pesa nyingi za maendeleo zinaishia bungeni bila sababu yoyote ya msingi, kwnn wasilipe kodi wkt wanalipwa pesa nyingi? Ndio maana huwa sichagui wabunge cz sioni impact yao kwa maendeleo ya taifa, wabunge ni Chawa wanaolitafuna taifa.
Hivi unafikiria kamati kuu nec wakiita Wabunge wao wa CCM na kuwalazimisha kupitisha mswada wa kodi watakataa? Hamna political will hapo kwa vile sidhani kama Wabunge wa CCm wana nguvu kuliko chama!
 
We si uliikataa hii render, mbona sasa waishupalia na kutaka kulazimisha iwe ya kenya..endelea kuugua mzee, mombasa is a construction site
Kwahiyo walioandika hapo kwenye render huwataki au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-2103040264.jpg
JamiiForums747860020.jpg
 
Back
Top Bottom