Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Not unuasual to hear that from a stupid kunyan! do u know that all of Mlimani city is under UDSM's land is also a shareholder that will fully take over the premises in the future!
Danganya watoto, milimani city is owned by Botswana people 😂😂, KU is the only University in EA with a shopping mall owned by the school.
 
Kuwa na rating kubwa ni suala moja lakini kuweza kukopesheka ukarudisha mikopo ni swala kingine.

Kwa nini serikali inahangaika kukopa ndani kama inaweza pata mikopo nafuu nje? Jibu ni haikopesheki
leta any report of GoT failing to honor her debt obligations! I can bring to u plenty of such reports on GoK! From asking for a grace period to chinese debt-restructuring requests!
 
Leo google wamemkumbuka turkana boy.
440639_0758a411e51dd544ac405829ce760ea1_thumb.gif

 
Not unuasual to hear that from a stupid kunyan! do u know that all of Mlimani city is under UDSM's land and UDSM is also a shareholder that will fully take over the premises in the future!
😂😂😂Sa kwani nimekufanya nin ili unitusi??kuliza si ujinga Geza Ulole
 
Nampa kongole uhuru,huku Tzn sio kwamba Serikali haitaki mikopo ila tatizo ni kukopesheka ndio shida nchi bado inachukuliwa LDC na wakopeshaji wanaona risk kwamba Tzn inaweza ku default..

Ndio maana Finance Minister alisema wanahangaika na rating agency zi upgrade credit rating yetu Ili Serikali itafute pesa za mikopo kufanya miradi mikubwa.Mia mia za miamala haziwezi kuivusha Nchi.
kulingana na kauli yako

kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa Tanzania haikopesheki...? na hiyo yote sababu haiwezi kulipa mkopo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


seriously!!!!!
 
kulingana na kauli yako

kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa Tanzania haikopesheki...? na hiyo yote sababu haiwezi kulipa mkopo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


seriously!!!!!
Refer to the case of south african farmer.
 
kwani sie unafikiri tunaanzisha colleges and study courses kiupuuzi kama Kenyatta University only to be disbanded!


Tanzanian universities are pathetic, that's why they can't even appear among the top 40 best universities in Africa 😂😂😂
 
Danganya watoto, milimani city is owned by Botswana people [emoji23][emoji23], KU is the only University in EA with a shopping mall owned by the school.
yaani unabisha hata kwa vitu usivyovijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pole sana bwana mapesa
 
yaani unabisha hata kwa vitu usivyovijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pole sana bwana mapesa
I know very well that Milimani city mall is owned by investors from Botswana. KU pekee ndio the only University in EA with a shopping mall.
 
Back
Top Bottom