Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo unachofanya ni kutaka niinyumbue .. yaani nianze hivi.. mbagala kuu, saku, rangi tatu, mtoni, kwa azizy ally, tandale kwa mtogole, maji matitu, charambe, temeke mwisho, kizuiani nk... huna hoja.. na hapa ndipo tunapofail watanzania.. hatupendi kukubali kuwa tuko nyuma.. na hata tukiambiwa kuwa wenzetu wametuacha tunakataa.. kuna mwaka nilienda HARARE.. yaan kumeendelea sana huko huwezi linganisha na hapa kwetu.. bro sisi tuko nyuma.. na tatizo kubwa ni kwamba hatuna elimu au WATZ wengi hawajatembea.. sio hivyo tu hata wakazi wengi wa DAR hawajatembea hata kufika morogoro tu ni shida.. even kibala few miles from DAR CITY..

Sent using Jamii Forums mobile app
That's their main problem. ....exposure. Wamejazana Catholic University hapa Kenya. ...Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah charambe mwisho unapajua wewe acha kutuletea siasa hapa sio uwanja wake
hesabu hzo slums za nairobi hata nguruwe hawez ishi....pole sana unajifanya wewe ndio umetembea sana na tuliotembea tumekaa kimyaa😀😀😀😀😀😀😀

Nyalenda in Nairobi. ..lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnaonaje hapa

0L7C1936.jpg

3384806238_8e9c6d9749_b.jpg

img_1605.jpg
Nyumba za kiswahili hata uweke vipodozi vipi havifichiki. .. .Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah charambe mwisho unapajua wewe acha kutuletea siasa hapa sio uwanja wake
hesabu hzo slums za nairobi hata nguruwe hawez ishi....pole sana unajifanya wewe ndio umetembea sana na tuliotembea tumekaa kimyaa😀😀😀😀😀😀😀

Pumwani ni slum....Lol. ngo wanatafuta pesa kweli. ...Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah charambe mwisho unapajua wewe acha kutuletea siasa hapa sio uwanja wake
hesabu hzo slums za nairobi hata nguruwe hawez ishi....pole sana unajifanya wewe ndio umetembea sana na tuliotembea tumekaa kimyaa😀😀😀😀😀😀😀

Kenyatta university slums ndio gani...Lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol......They don't know dangote cement will remmit some of the proceeds back to naija. ...Lol.check control accounting. ....
Dangote wanted to establish a cement plant in Kenya too akakataliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
We have our own cement factories, we don't adore Dangote's... FDI is good but where investment s already okay then the government has to protect the local firms
 
We have our own cement factories, we don't adore Dangote's... FDI is good but where investment s already okay then the government has to protect the local firms
Hio kazi haikuhusu sisi ndio tunajua zaidi
Bei ga cement 50 kg tz inauzwa 350 ya kenya with vat invlusive of 18% while kenya 50 kg inauzwa 770 ksh
Mutaendelea kujenga nyumba ya bati mpaka dunia ismame😀😀😀😀😀
 
Navyo ongea ujenzi upo unaendelea. Magufuli hana time yakupoteza muda. Huwezi kwa awamu yake unakaa pembeni. Alafu Jana kamalizia likizo yake ya mapumziko. Dude liko ofisini linachapa kazi

Hata ndege yenyewe ni lita... Unaonyesha an animated render while hapo chini umeonyeshwa picha za Boeing 787 - 8 dreamliners on operation at JKIA
 
Hata ndege yenyewe ni lita... Unaonyesha an animated render while hapo chini umeonyeshwa picha za Boeing 787 - 8 dreamliners on operation at JKIA
Sio zenu lakini kwanza tafuteni suluhisho la loss inayowaua😀😀😀😀😀
 
Naona azam anawanya raha. Nakwa investment kama hizi na nyingine nyingi. Mtaisoma number.Endeleeni kunywa azam energy drink tujenge nchi.
Fumba Global Views 03.jpg
Screenshot_2017-07-17-21-41-27.png
Screenshot_2017-07-17-21-41-42.png
Screenshot_2017-07-17-21-42-58.png
Screenshot_2017-07-17-21-43-35.png
Screenshot_2017-07-17-21-42-41.png
Screenshot_2017-07-17-21-44-12.png
Screenshot_2017-07-17-21-44-43.png
Screenshot_2017-07-17-21-45-00.png
Screenshot_2017-07-17-21-45-26.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-07.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-07.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-56.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-37.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-37.png
Screenshot_2017-07-18-03-04-10.png
Tanzania wanatafutwa na torch

Back
Top Bottom