Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya's Cement production capacity is higher that Tanzania's so don't struggle too much to prove a pointless point

Kwikwikwikwi yaani mpaka unatia huruma.
Pole lakini ndio hivyo
 
sio ndege zote wamelease ndugu usiwe bogus zipo wamenunua cash sio kenya zote za wanaume wa nje alaf unakuja kujisifia hapa....kasome sababu ya loss alaf uje hapa😀😀😀😀😀😀

Emirates to buy more Airbus A380s even if Neo version is shelved

British Airways takes delivery of its new £270m Airbus A380 | Daily Mail Online

UAE airline Etihad to buy 10 more Boeing 787-9 planes

Boeing, Ethiopian Airlines Commitment to Purchase Two 777 Freighters

Nani kasema zote?
Kulease aircraft sio kama kulease gari. You first need someone to lease it from. Ndege kubwa haziko readily available for leasing, which in this case means you have to buy.
Plus, kuchange business model si kitu abrupt. You phase it over many years.

Lakini ukweli ni kwamba trend inamove to leasing. Hii ndio information nimepata.
''2% of the global aircraft fleet in 1976, then 15% in the early 1990s, 25% in 2000 and 40% in 2017 are leased.''

Soma hii link ya Wikipedia utoe ujinga.

Aircraft lease - Wikipedia
 
Largest Iron and Steel factory in East and Central Africa. The factory has the length of 1 km and the railway system inside the factory of 1.2km for transporting steel from the factory. Mtanyooka chini ya Magufuli. Tanzania ya viwanda.
unnamed+%2814%29.jpg
images-33.jpeg
downloadfile-31.jpeg
Just google east Africa cement View attachment 546560
 
Nani kasema zote?
Kulease aircraft sio kama kulease gari. You first need someone to lease it from. Ndege kubwa haziko readily available for leasing, which in this case means you have to buy.
Plus, kuchange business model si kitu abrupt. You phase it over many years.

Lakini ukweli ni kwamba trend inamove to leasing. Hii ndio information nimepata.
''2% of the global aircraft fleet in 1976, then 15% in the early 1990s, 25% in 2000 and 40% in 2017 are leased.''

Soma hii link ya Wikipedia utoe ujinga.

Aircraft lease - Wikipedia
sasa cha ajabu kenya airways haina historia ya kununua ndege hata moja zote wame lease na sababu kubwa iliopelekea loss of kenya airways up to date is aircraft leasing😀😀😀😀😀😀😀

hakuna kitu utaonesha hapa ndugu ..................
we endelea kupunguza machungu hapa
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛

Kenya Airways records country’s worst ever loss
 
Shida yako kubwa ni kuropoka.
Kenya Airways iko na ndege zinakaribia 40. Majority ni fully owned.
Ili kujitoa kwa hii shida, KQ imekuwa ikilease out ndege kadhaa kwa airlines tofauti. Kama haina ndege ata moja, ni gani hizi inalease out?
So far imelease out nafikiri 5 aircraft.
Kweli inaweza lease out ndege si yake?

Kenya Airways Leases More Planes to Turkish, Oman Airlines
 
Goodwill Ceramic Factory.Largest Ceramic(tiles)factory in East and Central Africa. The factory only has the the length of 1 km and it is undergoing more expansion. The factory uses gas to generate its own power and for production. Magufuli had hard time to go around the factory . Tanzania ya Viwanda
FB_IMG_1497488924215.jpg
FB_IMG_1497488952747.jpg
Just google east Africa cement View attachment 546560
 
Shida yako kubwa ni kuropoka.
Kenya Airways iko na ndege zinakaribia 40. Majority ni fully owned.
Ili kujitoa kwa hii shida, KQ imekuwa ikilease out ndege kadhaa kwa airlines tofauti. Kama haina ndege ata moja, ni gani hizi inalease out?
So far imelease out nafikiri 5 aircraft.
Kweli inaweza lease out ndege si yake?

Kenya Airways Leases More Planes to Turkish, Oman Airlines
Kasome maana ya sub lease alaf uje tena
Leo hakuna sehemu utatoka hapa ndugu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
20170720_151612.jpg
 
Your trying to defend the airline that makes loses every year. Acha kupoteza nguvu yako.
Shida yako kubwa ni kuropoka.
Kenya Airways iko na ndege zinakaribia 40. Majority ni fully owned.
Ili kujitoa kwa hii shida, KQ imekuwa ikilease out ndege kadhaa kwa airlines tofauti. Kama haina ndege ata moja, ni gani hizi inalease out?
So far imelease out nafikiri 5 aircraft.
Kweli inaweza lease out ndege si yake?

Kenya Airways Leases More Planes to Turkish, Oman Airlines
 
SINOMA CEMENT FACTORY.To be the largest in East and Central Africa.Under construction in Tanga. Worth $1.2 Billion including the construction of a EPZ. To produce 6 million tonnes per year 70% export 30% domestic use. The Chinese will use the cement from this factory to build their Africa Silk roadView attachment 546587 View attachment 546589
Another episode of those itakuwa tales.
 
Shida yako kubwa ni kuropoka.
Kenya Airways iko na ndege zinakaribia 40. Majority ni fully owned.
Ili kujitoa kwa hii shida, KQ imekuwa ikilease out ndege kadhaa kwa airlines tofauti. Kama haina ndege ata moja, ni gani hizi inalease out?
So far imelease out nafikiri 5 aircraft.
Kweli inaweza lease out ndege si yake?

Kenya Airways Leases More Planes to Turkish, Oman Airlines
hzo majority full owned ndio nataka kuziona sasa niletee link kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote
ok tafuta google ipasavyo nakupa one week😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wewe nikichaa tena Uliye shindikana
Umewahi fika NAIROBI??? au unaona picha tu??? Acha ujinga.. na ndio maana hatuendelei... DAR ES SALAAM INA MAENEO MENGI SANA YA AJABU... KUANZIA MBAGALA YOTE ILE HADI UNAFIKA MAENEO YA UHASIBU NI UPUUZI.. INGIA NDANI HUKO.. TANDALE, TANDIKA, MANZESE, KITUNDA YOTE YAAN.. KWA KIFUPI DAR ES SALAAM PAKO HOVYO KULINGANISHA NA NAIROBI.. TUNAPASWA KUJITUMA NA KUWEKA MAMBO SAWA... MAENEO YA KIBELA PALE NAIROBI NIMEENDA KUNA MAGHOROFA MAPYA KAMA YALE YA UDSM.. nasisitiza KENYA wametuacha tena sana.. nenda NAIROBI KISHA URUDI DAR.. Utakuja simulia hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na je ukiingia nairobi maeneo haya utasemaje😀😀😀😀😀😀
safari hii mutafungua acc kibao lakini wapi
 
Kwenye hii hali wa Kenya wameshindwa kutoka. Wengi wao wanachungulia nakuondoka mwenye thread.
images-18.jpeg
 
Back
Top Bottom