tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Achanikutumie map ya slums za Nairobi vizuri. Because its a big deal there.Hebu tuma picha za kenyatta University slums
Kwani huna machotuletee link za 2017 sio za 2009
Daraja????? Lol unataka tuanze kupost daraja??Sasa kwenye madaraja naona wakenya wamekaa. Only in Tanzania. Sasa tungeamua kuujenga Dar pekee yake si ingekuwa hatari sana!!?
![]()
The only thing watu wa LDC can't edit.....ukweli ulionata kama gundi![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Post. Unauliza utafikili upo kwa prisonDaraja????? Lol unataka tuanze kupost daraja??
sent from iPhone 7
Na hio ndio expensive hotel in the world
Macho ya nn hapo post updated source dunia hairudi nyuma inakwenda mbeleKwani huna macho
sent from iPhone 7
Wanajifanya wamesahau slums zao ni nyingi mpaka wanasahau😀😀😀😀😀😀Achanikutumie map ya slums za Nairobi vizuri. Because its a big deal there.View attachment 546696
We have our own cement factories, we don't adore Dangote's... FDI is good but where investment s already okay then the government has to protect the local firms
Jamaa anatuwekea Colessium. Eti ni stadium. Inatofauti gani na hii.
Umeona picha au umefika hayo maeneo?? Maana kama haujafika basi ww ni mpuuzi tena mkubwa.. Kibera now days kuna project kubwa ya maghorofa kama yale ya UDSM.. tembea uone.. lzma tujifunze kwa wenzetu.. wakenya wako mbali kidogo kupita sisi hata uchumi wao uko stable....Nimekuona Mpuuzi tena wakiwango cha Treni ya SGR ya kenya
Hivi kati ya Mbagala na Kibera unaweza linganisha kama una akili timamu kweli!!
Jipime Kabla ya Kutapika
Jamaa anatuwekea Colessium. Eti ni stadium. Inatofauti gani na hii.View attachment 546719View attachment 546721View attachment 546722
Pumzika ndugu hakuna haja yakutoa povu kiasi hicho....usije ugua buree😀😀😀😀😀Umeona picha au umefika hayo maeneo?? Maana kama haujafika basi ww ni mpuuzi tena mkubwa.. Kibera now days kuna project kubwa ya maghorofa kama yale ya UDSM.. tembea uone.. lzma tujifunze kwa wenzetu.. wakenya wako mbali kidogo kupita sisi hata uchumi wao uko stable....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona picha au umefika hayo maeneo?? Maana kama haujafika basi ww ni mpuuzi tena mkubwa.. Kibera now days kuna project kubwa ya maghorofa kama yale ya UDSM.. tembea uone.. lzma tujifunze kwa wenzetu.. wakenya wako mbali kidogo kupita sisi hata uchumi wao uko stable....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawez kua mbongo asiejielewa😀😀😀your fellow countrymen like living in denial