Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Macho kodooo😀😀😀😀😀😀
Screenshot_20170720-154016.jpg
 
Hapo unachofanya ni kutaka niinyumbue .. yaani nianze hivi.. mbagala kuu, saku, rangi tatu, mtoni, kwa azizy ally, tandale kwa mtogole, maji matitu, charambe, temeke mwisho, kizuiani nk... huna hoja.. na hapa ndipo tunapofail watanzania.. hatupendi kukubali kuwa tuko nyuma.. na hata tukiambiwa kuwa wenzetu wametuacha tunakataa.. kuna mwaka nilienda HARARE.. yaan kumeendelea sana huko huwezi linganisha na hapa kwetu.. bro sisi tuko nyuma.. na tatizo kubwa ni kwamba hatuna elimu au WATZ wengi hawajatembea.. sio hivyo tu hata wakazi wengi wa DAR hawajatembea hata kufika morogoro tu ni shida.. even kibala few miles from DAR CITY..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah charambe mwisho unapajua wewe acha kutuletea siasa hapa sio uwanja wake
hesabu hzo slums za nairobi hata nguruwe hawez ishi....pole sana unajifanya wewe ndio umetembea sana na tuliotembea tumekaa kimyaa😀😀😀😀😀😀😀

Hata unyumbue vipi. Hii ndo Nairobi wewe mmakonde.
images-40.jpeg
images-39.jpeg
images-35.jpeg
images-29.jpeg
app.jpg
huruma-nairobi-kenya.jpg
838cd0750cdb66a0bd551bd87a543a5e-2.jpg
2017-06-18-16-26-30-91150505.jpeg
images-24.jpeg
images-27.jpeg

Back
Top Bottom