Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Made in Tanzania by Dangote Cement

11536DangoteCementPLCjpg.jpg

dangote-indistries.jpg
 
Why has SPORTSPESA been so successfulin Tanzania given that its barely half a year old
leta uthibitisho kuonyesha sportpesa imekuwa successful tz ndani ya nusu mwaka.

na usilete issue ya sport pesa cup au game ya gormahia fc vs Everton.
 
Ndugu. Kutembea mingi au kusoma kwingi ni kuona mengi.
Asilimia ya leased aircraft in the world imepanda kutoka 15% 30 years ago, to 40% leo.
Airline zote kubwa na ndogo zimegundua kwamba leasing ni more economical than buying. Ata airline za US most of their aircraft ni leased.
Lakini Magufuli ndivo ampatie 'false patriotism' alienda akatumia mabilioni kununua ndege mbili. I can tell you with 100% certainty, hio ATCL yenu itatangaza hasara sooner or later. Mnafanya the same mistakes Kenya Airways ilifanya.
Tofauti ni kwamba KQ ishagundua na sasa hivi ndege zao wanalease.

Na by the way, kulease pia ni gharama. Usidhani ATCL na KQ zinatoshana. Ata Fly 540 yetu iko juu sana
Ukitaka kuona kauli yako haina akili nenda usome sababu ilioifanya kenya airways ku run loss mpaka leo alafu uje nikufundishe😀😀😀😀
 
The same way Zuku lost in Tz,
By the way, wakati unajibaraguza kwenye keyboard , wenzako washakuja chumbani already.
View attachment 546537
That is just an Azam tv outlet...Azam wataweza market ya Kenya waki introduce either EPL au Internet kwa package yao...ila sai wao ni kama tu Startimes au Bamba, na Bamba haina monthly subscription.
 
That's a typical Kenyan Mindset. Azam TV is the official sponsor of Rwanda Premier league (Kenya mlibania Azam ligi yenu hiyo mbovu na kumpa DSTV)
In Tz DSTV is selling only because of EPL, na sasa wanakutana na ushindani wa kufa mtu toka Azam TV,
Azam TV Won La Liga, next ni EPL, hapo sasa tutaachana na huu upuuzi wa expensive DSTV.
Azam tv have concurred the Market in East Africa in a very shortest time. I know Kenyans will always try to opt for dstv over Azam sababu ya chuki against maendeleo ya Tz.
But just to remind you, Mafuriko huwa hayazuiliki. Now Tz is ahead of Kenya in So many things. We r now producing everything we used to import from Kenya during 1990's and Early 2000's

Hahahaha..
Chuki yenye unaongelea inaexist only in your brain.
Ukweli ni kwamba Azam is a distant 5th after DSTV, GOtv, Zuku and Startimes.
Nikiwapa sana, sidhani wako na wateja zaidi ya elfu mbili (2000).
Ukitaka kuona kauli yako haina akili nenda usomr sababu ilioifanya kenya airwayd ku run loss mpaka leo alafu uje nikufundishe😀😀😀😀

Sawa msomi. Kenya Airways kufika penye iko ilikuwa process, sio event.
Many bad decisions over the years.
 
That's a typical Kenyan Mindset. Azam TV is the official sponsor of Rwanda Premier league (Kenya mlibania Azam ligi yenu hiyo mbovu na kumpa DSTV)
In Tz DSTV is selling only because of EPL, na sasa wanakutana na ushindani wa kufa mtu toka Azam TV,
Azam TV Won La Liga, next ni EPL, hapo sasa tutaachana na huu upuuzi wa expensive DSTV.
Azam tv have concurred the Market in East Africa in a very shortest time. I know Kenyans will always try to opt for dstv over Azam sababu ya chuki against maendeleo ya Tz.
But just to remind you, Mafuriko huwa hayazuiliki. Now Tz is ahead of Kenya in So many things. We r now producing everything we used to import from Kenya during 1990's and Early 2000's

Hahahaha..
Chuki yenye unaongelea inaexist only in your brain.
Ukweli ni kwamba Azam is a distant 5th after DSTV, GOtv, Zuku and Startimes.
Nikiwapa sana, sidhani wako na wateja zaidi ya elfu moja (1000).
 
Usiende nje ya topic my friend mm nataka unioneshe wapi kenya airways wamenunua ndege ya aina yoyote cash....i mean cash......😀😀
najua umehangaika google lakini umekosa hahahahhahaha
Ndege za kenya airways zote wamelease na ukumbuke only 29% is ur shares out of 100%

na ukumbuke air tanzania is 100% gvt owned na kufikia 2019 tutakua na ndege 9 zote tumenunua cash hakuna kulease wala mamake kukodisha

bombardier q300 one
bombardier q400 three
bombardier cs 300 three
Boeing 787 two

Haha majority shares are held by Kenyan individuals and companies, i can see how the ujamaa system has brainwashed you. Everything is owned by the government including the only popular towers
 
Hahahaha..
Chuki yenye unaongelea inaexist only in your brain.
Ukweli ni kwamba Azam is a distant 5th after DSTV, GOtv, Zuku and Startimes.
Nikiwapa sana, sidhani wako na wateja zaidi ya elfu mbili (2000).

Sawa msomi. Kenya Airways kufika penye iko ilikuwa process, sio event.
Many bad decisions over the years.
Kasome sababu zilizoifanya kq ku run loss 4 yra now ukijua sababu alaf njoo hapa
 
Haha majority shares are held by Kenyan individuals and companies, i can see how the ujamaa system has brainwashed you. Everything is owned by the government including the only popular towers
😀😀😀😀😀😀 pole sana kwa kukosa ndege cash alaf usilie sana kwa loss munayopata sababu kubwa ni tanzania
 
Hahahaha..
Chuki yenye unaongelea inaexist only in your brain.
Ukweli ni kwamba Azam is a distant 5th after DSTV, GOtv, Zuku and Startimes.
Nikiwapa sana, sidhani wako na wateja zaidi ya elfu mbili (2000).

Sawa msomi. Kenya Airways kufika penye iko ilikuwa process, sio event.
Many bad decisions over the years.
😀😀😀😀😀😀😀😀

Kenya Airways records country’s worst ever loss
 
dstv hawezi akakubali EPL ionyeshwe na kampuni nyingine....hiyo ndio pumzi yake kwa sasa.

atapambana kufa kupona ili EPL ibaki kwao maana akinyang'anywa ndio utakuwa mwisho wa upuuzi unaofahamikaka kama dstv east africa.
Mbona kashusha bei sana hadi 19500 kwa mwezi?
Hata Azam akiipata EPL atapandisha hela maana kupata leseni yake ni ghali sana
 
Hahahaha..
Chuki yenye unaongelea inaexist only in your brain.
Ukweli ni kwamba Azam is a distant 5th after DSTV, GOtv, Zuku and Startimes.
Nikiwapa sana, sidhani wako na wateja zaidi ya elfu moja (1000).
Don't forget ADN, Big box(safaricom) Bamba Tv and company
 
leta uthibitisho kuonyesha sportpesa imekuwa successful tz ndani ya nusu mwaka.

na usilete issue ya sport pesa cup au game ya gormahia fc vs Everton.

Sportpesa atapata shida ku succeed pia ..Kuna company moja ya Ki Tz inaitwa Mkeka bet ...iko vzur sana ..pia mbet na merdian kwahyo sportpesa isidhani kuwa Kazi ni rahisi Tz ...hapo cjaizungumzia Premier bet
 
nioneshe link kua kenya airways imenunua any aircraft cash nasubiria sasa hvi😀😀😀😀😀

Kweli wajinga ndio waliwao.
Kenya Airways imenunua ndege mingi over the years without fanfare. Juzi tu ndio wamegundua kumbe leasing ni more economical.
Magufuli naye anajua watanzania wajinga, akawafurahisha kwa kununua ndege mbili cash. Ukweli ni kwamba airlines zote duniani zinatoka kwa full ownership zinaingia leasing.
Kampuni chache duniani zinaown more than 3000 aircraft ambazo zinalease kwa airlines kama Emirates, United Airlines, British Airlines, Kenya Airways etc.
Soma hizi links ujierevushe.

TOP 10: Aircraft leasing companies

Dubai's Emirates eyes new aircraft lease deal

United Airlines to lease up to 25 used aircraft from AerCap Holdings

British Airways Leasing Nine Qatar Airways Aircraft During Cabin Crew Strike – Flightradar24 Blog
 
Magufuli anajarbu kurudisha pesa kwenye Govt ..ndo maana unaona TTCL iliuzwa now inamilikiwa tena na Govt 100% ..ATCL hivyo hivyo kama Ethiopian wameweza kwann Atc ishindwe...soon anataka General Tyre irudib kuwa ile ya zamani
 
Haha majority shares are held by Kenyan individuals and companies, i can see how the ujamaa system has brainwashed you. Everything is owned by the government including the only popular towers
Can you define Government?
Labda tuanzie hapa.
 
Back
Top Bottom