Hawa jamaa comedian kweli ukikutana nae mjini amevaa suti utafikiri ni mtu wa maana sana sasa ngoja jioni uone anapoelekea kupumzika kiberaaaa. Hivyo hivyo hufanya kwenye data zao katika ngazi zote.Kumbe wana 4k tu za o. Paved?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]