Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona mibarabara ya Kenya vile inakaa, vumbi yn typically third world [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I don't engage people from LDC (with only 9,000km of paved roads) on matters concerning road network. 😂🤣🤣😂👇👇

Screenshot (16).png

Mzee fungua link tena kwenye hizo 11k moram ni zaidi ya 7k so paved probably 4k 🤣🤣🤣🤣🤣

WB wanaowapa pesa za kujenga barabara ndio wataalam 😅😅

Wewe nikama ulitumia changa asubuhi your data doesnt even make sense mara unaleta ya checker inasema there was 11,000 by 2013 then unaleta ingine that 2017 waliongeza 50% na bado inabaki 11000km hauoni bangi ndo umetumia mingi???? Na unapost zote bila aibu nkt feeling like a fool to even argue with you wewe ni wale watu munaambiwanga sawa umeshinda na unawaondokea because you cant resonate bangi ndo mingi
 
Amejichanganya huyo😂😂🤣😂,
 
Bloggers eeh?

Angalia partners wao kwanza ndio uje tena

So nani anadanganya between your two sources mwenye anasema in 2013 ilikua 11,000 hugo fact finder ama hiyo tweet inasema by 2017 iliongezeka by 50% Ikawa 11,000 ama ni kizungu ndo hawakuelewa ilikua 11,000 ikaongeza by 50% so by 2017 inafaa kuwa 17600????
 
So this a lie???? Nkt we enda ukavute bangi ingine hata sitaki ku argue na wewe you confused with your 50% increase yenye haisongi hehe

Try to imagine hiyo Ni reasoning ya mwenye anajua kuandika na kusoma, Sasa wale wenye hawajui chochote aje?🤣🤣😂
 
So nani anadanganya between your two sources mwenye anasema in 2013 ilikua 11,000 hugo fact finder ama hiyo tweet inasema by 2017 iliongezeka by 50% Ikawa 11,000 ama ni kizungu ndo hawakuelewa ilikua 11,000 ikaongeza by 50% so by 2017 inafaa kuwa 17600????
Akikujibu unitag🤣🤣😂🤣
 
Wewe nikama ulitumia changa asubuhi your data doesnt even make sense mara unaleta ya checker inasema there was 11,000 by 2013 then unaleta ingine that 2017 waliongeza 50% na bado inabaki 11000km hauoni bangi ndo umetumia mingi???? Na unapost zote bila aibu nkt feeling like a fool to even argue with you wewe ni wale watu munaambiwanga sawa umeshinda na unawaondokea because you cant resonate bangi ndo mingi
Mna 3k tu za tarmac the rest ni moram and dusty 🤣🤣🤣🤣

Kumbe hiyo tweet ni ni site ya tapeli eti get rich kwani amekulipa uipost nimeifwata na the second link ni ya money schemes nkt
 
Mnafrahisha sana nyie,kwahyo magazeti ya Tz yanaandika uongo sana maana hakuna kitu mtaambiwa mkubali apa...Ilo Gazette lako limetoa taarifa wap maana kuna maku m1 anapinga data sijui anatumia kidole kufikiri au akili...na kama tuko hapa kubishana na facts basi haina haja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom