Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha!!umeleta upupu gani huo mazee, haya tueleze hyo ndio yard ya wapi hko maporini[emoji1787][emoji1787]

Yani kitu tofauti kabisa aisee, narudia tena niletee ya dar km hii nitoke[emoji116][emoji116][emoji116] jf..

Naona umekimbia google kupata somo manamke mlikua hamjui kitu..

Enhee nijibu geuza na geuzia ni visawe[emoji1787][emoji1787]View attachment 1859091
those r 15 rail tracks! I bet if Nairobi dry port has that number!
 
219142665_4399695303427763_2260360730105865164_n.jpg
 
Hahaha!!si tukikubaliana tanzania wanawake wote wazuri, sasa hawa nao ni wa wapi jamnani..
Mademu sura zimeshuka km wamepiga viroba vile[emoji1787][emoji1787]
Si ndiyo maana tuna taji la miss world Africa au hutaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na wewe pia unaunga mkono ya kwamba geuza na geuzia ni maneno na yana maana sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pumbavu kabisa
Jeuza imekuwa geuza sasa, naona akili zinakurudia taratibu maamaeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bwahahaha!!umeleta upupu gani huo mazee, haya tueleze hyo ndio yard ya wapi hko maporini[emoji1787][emoji1787]

Yani kitu tofauti kabisa aisee, narudia tena niletee ya dar km hii nitoke[emoji116][emoji116][emoji116] jf..

Naona umekimbia google kupata somo manamke mlikua hamjui kitu..

Enhee nijibu geuza na geuzia ni visawe[emoji1787][emoji1787]View attachment 1859091
Yard haikai katikati ya mji acha ushamba.
 
Kweli kama ufisadi na rushwa mko vizuri 🙂
Ufisadi tz upo sana tena unazidi kenya ni vile vyombo vyenu vya habari havina uhuru wa kutangaza... atakaye jaribu kufichua atakutana na kilicho mtoa tundulissu manyoya
 
[emoji1787][emoji1787] ngoja uone mchezo unavyochezeka mr.old man

wakati treni yenu ikipiga trip mara moja huku ya Tz itakuwa imepiga trip zaidi ya tatu sijui hiyo revenue unayoizungumzia kwenye mwendo wa kobe unaipima vipi
Yaani mbona nyie bongo lalas hamnielewi ninapo sema mambo ya itakuwa achaneni nayo....tunataka mambo ambayo yameshakuwa tayari. Tazama hapa...sisi tunaunda barabara ya juu kwa juu ya kilomita 27 juu kwa juu na ma interchange kibao...lakini tangia ianze kuundwa tumecheza low profile...sahiii inapokaribia kuisha ndio tuna washwa kuitangaza...hivyo basi nanyi mmeongelea hiyo reli yenu amabayo mwaka nenda mwaka rudi haiishi kuundwa ....halafu nchi hamna stima ya kutosha kwa wana nchi wenyewe na mna jitwika mzigo wa reli ya stima ....hapa mimi nangoja kuona movie tu.....
 
Ni kwasababu hamjawahi kushinda taji lolote la kimataifa katika urembo, usinililie mm ridhika na uumbaji wa Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Post taji zote mlizo shinda,kangaroo wewe😂😃😄!?.....
 
Back
Top Bottom