FISHING 🎣 VILLAGE UGLY PAGEANTS
We ulikua hutak anunue gari 😅😅😅 munaroho mbaya nyinyi hatariWakati wakifurahia diamond domo kubwa akinunua gari, Western bypass View attachment 1858961View attachment 1858963View attachment 1858964
Akitaka pia anunue ndege lakini BET na grammy asahau.We ulikua hutak anunue gari 😅😅😅 munaroho mbaya nyinyi hatari
Sio mwenzako huyo 🤣🤣👇👇👇Akitaka pia anunue ndege lakini BET na grammy asahau.
Akipata BET na Grammy nitagSio mwenzako huyo 🤣🤣👇👇👇
List of awards and nominations received by Diamond Platnumz - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
😀😀😀👇👇👇👇Akitaka pia anunue ndege lakini BET na grammy asahau.
Snoop dog : ma nigga you trippin ?😀😀😀👇👇👇👇View attachment 1859039
😆😄ðŸ¤Hawa ndio mademu wa Tanzania
View attachment 1858639
View attachment 1858645
View attachment 1858652
View attachment 1858660
View attachment 1858657
Hahaha!!si tukikubaliana tanzania wanawake wote wazuri, sasa hawa nao ni wa wapi jamnani..Mademu sura kavu ni hawaView attachment 1857922


Bwahahaha!!umeleta upupu gani huo mazee, haya tueleze hyo ndio yard ya wapi hko maporiniIla wew bhana![]()
ukiambiwa SGR ya bongo ni EUROPEAN standard uelewe .. haya ngoja nikupitishe kidogo ujionee kwa ground.View attachment 1857671View attachment 1857672View attachment 1857673View attachment 1857674View attachment 1857675View attachment 1857677View attachment 1857678View attachment 1857680View attachment 1857682View attachment 1857683View attachment 1857684View attachment 1857686View attachment 1857687alaf kwenye kiswahili hatuna neno "sehemu za kujeuzia"
ni "sehemu za kugeuzia" neno kugeuzia limetokana na neno GEUZA ambapo mzizi wake wa neno ni "GEUZ" unaweza kulinyumbua na kuunda maneno mengine kama Geuzia, Geuziana, Geuzo au pia unaweza kutumia aina zingine za uundaji wa maneno kama vile (affixation, reduplication, Compounding word formation n.k). kugeuzia limeundwa kwa kutumia njia ya uundaji ya maneno ya Uambishaji (affixation) ku-geuz-ia .. ku=priffix geuz=root ia=suffix




jf..

Na wewe pia unaunga mkono ya kwamba geuza na geuzia ni maneno na yana maana sawaachana na huyo chokoraa yaani kwa akili ya kawaida tu yaani amewahi kuona wapi reli ijengwe halafu ikose sehemu ya kupishana..
kama siyo chizi huyo basi atakuwa kipofu


pumbavu kabisaNaona akili zako zimeanza kukurudi sawa, yani mumetafuta marshal yard lkn wapiany relationship btn kwala dry port and marshal yard ya SGR? ziko eneo moja? any details pls
Hapana ila karibu compaund tofauti!any relationship btn kwala dry port and marshal yard ya SGR? ziko eneo moja? any details pls