Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sa unataka kulia.
 
Kenya itatawaliwa na kabila mbili mpaka kufa kama sio kikiyu basi kalenjin, ekeni maneno yangu kama akiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jubilee imewachezea mchezo ya kujifanya ruto anajitenga ili iwe danganya toto
 
Overall? Yes

Those screenshots got a whole bunch of pixels missing, you only get that when the internet is slow.
Anyone aware of this suspicious character on some 🐟 fishy business on SKYSCRAPER CITY and JF,Some kind of a trojan horseπŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„ from fishing 🎣 village!!status photos looks suspect"dissident x"
 
Kenya itatawaliwa na kabila mbili mpaka kufa kama sio kikiyu basi kalenjin, ekeni maneno yangu kama akiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jubilee imewachezea mchezo ya kujifanya ruto anajitenga ili iwe danganya toto
Hiyo haitazuiya Mimi Kwenda kufanya Kazi na kula Ugali na Githeri
 
miezi ya mwisho wa mwaka sio mbali.. tutafika na kushuhudia. but it seems hio kampuni iliyopata tender ya mwanzo ina shida flan, maybe covid effects
Afadhali wewe umejibu kiungwana zaidi
 


Wewe ni mjinga unae chukua chochote alichoandika Mtanzania kama vindcation ya kujifurahisha. You must be very stupid.

Tuambie ni darasa la huyo lema??

Lema alikua rasta man na mwizi wa Magari Tanzania akipeleka huko Kwenyu Kenya kuuza na wezi wenzie.


Chadema ni chama cha wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…