Wewe unakuwanga na ujinga sana. Sasa mtu akinunua gari kupitia juhudi zake roho inafaa kuniuma.
Mbona sioni nyuma hio π€£π€£π€£π€£ mushaanza kushuta sasaSummary hii hapa na hii chapter tumefunga.
Dar Skyline Mbele
Dar Skyline Nyuma
Leteni matusi sasa kama kawaida kwa sababu hua hamna jibu la maana.
Kama haikuumi kwann ulileta price yake hapa??? Kwann π€£π€£π€£πWewe unakuwanga na ujinga sana. Sasa mtu akinunua gari kupitia juhudi zake roho inafaa kuniuma.
Na Bado utapelekwa hospitality ya.vichaa kabisa kila siku nakumbia sisi tunawaangalia zaidi walioendelea sio nyie masikini mpaka mna njaa.Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Train[emoji85] nmekabaki nmechanganikiwa
Ukimaliza kujifanya umechanganyikiwa[emoji116]...izo ndio zitakuja 2024 meantime wait for november 2021Nimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Train[emoji85] nmekabaki nmechanganikiwa
ππππ wanajiuliza wapi walipokwamaNa Bado utapelekwa hospitality ya.vichaa kabisa kila siku nakumbia sisi tunawaangalia zaidi walioendelea sio nyie masikini mpaka mna njaa.
Subiri utafika ule muda uharo na mkojo vitatoka wakati mmoja π π π πNimeona Mapicha Mingi za Tanzania Bullet Trainπ nmekabaki nmechanganikiwa
tupe precise details za mkataba wa kwanza .. huu wa hyundai rotem umeeleweka..
Mbona sioni nyuma hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mushaanza kushuta sasa
Kitu ambacho hajui, frame ya Pili haipo na ipo mbali ya hiyo frame ya kwanza [emoji1787], Anavyosema kwa nyuma anamaanisha ni picha hiyo hiyo upande mwingine au? Huyu nilimtoa maana rasmi kutoka jana baada ya kutoka Boko kuhusu Antonov 225[emoji1787]
Kitu ambacho hajui eneo la kwenye picha ya kwanza linaonekana mbali kule kwenye mbele kabisa kwenyepicha ya pili.
View attachment 1855206
View attachment 1855207
Amekuja kupunguza stress za maisha jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ
π€£π€£π€£π€£π€£ jokes
MY TAKE
Kenyans have started flocking to Tanzania to attend heart surgery services at JPM's state of the art hospitals!