ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ulipima na nini hebu tufundishe plz 🤣🤣sasa 100m by 100m nnn?
Ulipima na nini hebu tufundishe plz 🤣🤣sasa 100m by 100m nnn?
Nendeni nao taratibu kuna baadhi ya fuse zimechemsha 🤣🤣🤣
Fake gun,hapa kanairo inaitwa mbonoko(Bastola fake)Chamoto AKA MBONOKO🤣😂😎Umeishiwa wewe, sasa unaanza kuhoji majina? Chamoto inamaanisha bastola, sasa hapo nani mshamba kati ya mimi na wewe?
ni kweli nimeona clip ya campaign ya IEBC madam jaji kaulizwa swali kwa kiswahili kwa sababu huko mashinani watu wengi hawajui kingereza akawa anatangatanga tu . kumbe kingereza chenyewe wazungumzaji ni wachache ni kiswahili chenyewe wanakichafua kwa vocabularies zisizo eleweka. attachment below as an evidenceYaani ninyi wakunya mna syndrome ya superlatives pronouns sana, huyo jamaa anasema huge and massive protest wewe kwenye akili yako ya kikenya umedaka huge and massive building
English pia ni tatizo sababu utafiti unasema ni wakenya mil 1.8 tu ndio wenye uwezo wa kuelewa na kuongea somehow![]()
hebu kula carrot..Hii munaita nn 😂😂👇👇👇 najua hio picha umejitahidi kui crop lakini wapi
View attachment 1854065
For sure nimeona upper hill + CBD + westland + ngara etc bila kusahau pia nimeona mpaka forest🤣🤣🤣🤣🤣Most dense skyline in SSA after Jozi with Kilimanjaro on the background. 😱
![]()
Unataka nikuaibishe au ?? 😂😂😂hebu kula carrot..
Nilikua nimesahau wewe ndio ule fala ety Dar haiwezi toshea kwa picha moja. Ujinga yako hua ni ya kuzaliwa.For sure nimeona upper hill + CBD + westland + ngara etc bila kusahau pia nimeona mpaka forest🤣🤣🤣🤣🤣
Na siku ikitosha nitag nifunge acc hapa 😂😂Nilikua nimesahau wewe ndio ule fala ety Dar haiwezi toshea kwa picha moja. Ujinga yako hua ni ya kuzaliwa.
🤣 🤣 🤣 🤣
Mjinga kumbe hujui kuna cameras za wide lens na panorama. Hata ukiland JNIA inaonekana yote surrounded na zile mabati zimerust allover the place.Na siku ikitosha nitag nifunge acc hapa 😂😂
Hapa ni mwendo wa kuelimishana. RR has the Cullinan and the Cullinan Black Badge. These are different versions with different price entry levels. This link below can help you get the difference between the twoin the family of Rolls-royce, cullinan is the first RR’s SUV car.. then what do you mean it’s not the most expensive SUV even in the family of RR?
about the list my bad. i thought it’s the most expensive SUV in the world, kumbe yapo magari mawili mbele yake.. lkn cullinan ni la tatu
imebid niingie google nione the expensive SUV
![]()
The 12 most expensive SUV cars for sale in 2022
The world's most expensive luxury SUVs in 2022, from a Mercedes Star Trooper, and Cayenne-based Techart to a customized Lamborghini.www.jamesedition.com
So siku hizi Embu ime move to Naiii !!!!Is it not a dual carriageway? First of it is also within Nairobi metro - the whole of it. Alafu huku hatujengi Nairobi pekee, tunajenga the whole country. Anyway, ukitaka within Nairobi ndio hizo.
1. Mombasa Road - 13km
2. Waiyaki way - 11km
3. Thika Road (Via Wangari Maathai stretch) - 18km
4. Langata Road - 8km
5. Souther Bypass - 27km
6. Ngong Road - 10km
7. Jogoo Road - 5km
8. Outering Road - 11km
10. Enterprise Road - 6m
11. Uhuru Highway - 2km
12. Kenyatta Avenue - 2km
14. Eastleigh first avenue - 3km
15. Lusaka Road - landhies Road- 4km
16. Haile Selasie Avenue - 2km
17. General Waruinge road - 2km
18. Ring Road Ngara - 2km
19. Murang'a Road - 2km
20. Mbagathi Road - 3km
21. Westlands - Red Hill link road 4.5km
Total - 135.5
Na sijaenda Nairobi metro maanake barabara kama Thika road, Mombasa Road, Waiyaki Way zinaextend for kilometres outside Nairobi city.
Acha kuhesabu roads under 10kn even Tz has so many almost uncountable dual carriageways under 10kmIs it not a dual carriageway? First of it is also within Nairobi metro - the whole of it. Alafu huku hatujengi Nairobi pekee, tunajenga the whole country. Anyway, ukitaka within Nairobi ndio hizo.
1. Mombasa Road - 13km
2. Waiyaki way - 11km
3. Thika Road (Via Wangari Maathai stretch) - 18km
4. Langata Road - 8km
5. Souther Bypass - 27km
6. Ngong Road - 10km
7. Jogoo Road - 5km
8. Outering Road - 11km
10. Enterprise Road - 6m
11. Uhuru Highway - 2km
12. Kenyatta Avenue - 2km
14. Eastleigh first avenue - 3km
15. Lusaka Road - landhies Road- 4km
16. Haile Selasie Avenue - 2km
17. General Waruinge road - 2km
18. Ring Road Ngara - 2km
19. Murang'a Road - 2km
20. Mbagathi Road - 3km
21. Westlands - Red Hill link road 4.5km
Total - 135.5
Na sijaenda Nairobi metro maanake barabara kama Thika road, Mombasa Road, Waiyaki Way zinaextend for kilometres outside Nairobi city.
Na siku ikitosha nitag nifunge acc hapa 😂😂