Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninachofurahi ni kuona hii battle ilivyo geuka Dar versus Kunyaland

Yaani Dar kweli kidume, hicho kisago inachoigawia Kunyaland na counties zake ni cha pluto

Dual carriageways naipori imegoma kabisa kujitegemea bila kuunda coalition na shitholes za pembezoni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hilooooo limeumia, nikianza kuweka kenya nzima mtawezana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hamna lolote slum dwellers zaidi ya wizi wa pictures mitandaoni, pamoja na kuunda genge la shitholes za pembezoni lakini hazitoshi mnaiba pictures ili tu kupambana na Dar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tafuta shughuli Dar itakubemenda we zoba 🀣🀣🀣
...Dar ikapambane na Mwanza ama Arusha., ndio level zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD 10%, ushuzi 90%.., unatuambia nini wewe!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilooooo limeumia, nikianza kuweka kenya nzima mtawezana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
wamepewa evidence wao hawaleti kutoka kwao, wanatafuta matako ya kenya ili wa post, tunajua hawana jibu kwa sasa., ila tunawachokora tu.., wamechoka, waliishiwa pumzi, wahurumie tu kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muiweke mara ngapi? Zile dual carriageways zote ni za wapi? Kenol carriageway ni ya naipori?

Punguza pumba
nje ya dar kunazo? yaani miji pembezoni za dar tu.., hakuna lolote.., kama uko na jibu post, hadithi za vijiweni wachana nazo, evidence sasa hivi.., mwaga tuone....,
 
...Dar ikapambane na Mwanza ama Arusha., ndio level zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD 10%, ushuzi 90%.., unatuambia nini wewe!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama we kidume leta Estate mpya kabisa ya naipori haijawahi kuwekwa humu ndani na iwe 45 kilometers kutoka CBD

 
Noble house,Tanzanite Park Victoria Dar es Salaam

IMG_20210714_095751_103.jpg


IMG_20210714_095639_773.jpg
 
Walichoka zamani, wacha tuwatese πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, hadi raha.., read their responses uone vile wanahara zero points.., ni kiswahili najifunza kutokana na maandishi yao humu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kiswahili lugha yetu ntakosaje kuijua.
 

Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko nchi maskini duniani.​

 
Unadhani Nairobi ni mji wa barabara moja Kama dar?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


University Way.


View attachment 1852416

Nairobi GDP is $60B, Tanzania GDP is $60B.

Tz wamekosa jibu kwa Kenya inabidi waokote za wenyewe kujibu hoja ama watafute matako ya Kenya kujiliwaza, tumewabana na facts sasa wamekua chokoraa kwa google πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nyie jamaa mnachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..Ili muweze kuishinda Dar es Salaam lazimu muhusishe miji mikubwa miwili, kwasababu Dar ni package .. Ina Madaraja makubwa matatu ambayo hakuna hata moja ndani ya Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb Angalia πŸ‘‡ OLD SARENDA BRIDGE
Screenshot_20210714-010054_1.jpg
KIGAMBONI BRIDGE
Screenshot_20210714-014143_1.jpg
Screenshot_20210708-183711_1.jpg
NEW SARENDA BRIDGE
2805054_IMG_8226.jpg
2805012_E3lL8RLXMAIezdw.jpg
ASA UJASIRI WA KUISHINDANISHA DAR NA UCHAFU WENU MNATOA WAPI.?πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanini hamtaki kukubali ukweli, hakuna kitu kilicho NAIROBI AMBACHO HAKIPO DAR, ILA KUNA VITU VINGI SANA AMBAVYO VIPO DAR TU HUWEZI KUVIKUTA NAIROBI
 
Nyie jamaa mnachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..Ili muweze kuishinda Dar es Salaam lazimu muhusishe miji mikubwa miwili, kwasababu Dar ni package .. Ina Madaraja makubwa matatu ambayo hakuna hata moja ndani ya Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚ Heb Angalia πŸ‘‡ OLD SARENDA BRIDGEView attachment 1852498KIGAMBONI BRIDGEView attachment 1852501View attachment 1852502 NEW SARENDA BRIDGEView attachment 1852516View attachment 1852517ASA UJASIRI WA KUISHINDANISHA DAR NA UCHAFU WENU MNATOA WAPI.?πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanini hamtaki kukubali ukweli, hakuna kitu kilicho NAIROBI AMBACHO HAKIPO DAR, ILA KUNA VITU VINGI SANA AMBAVYO VIPO DAR TU HUWEZI KUVIKUTA NAIROBI
Skuizi mmekua waoga wa nairobi, sasa hizo bridges zijengwe wapi kwa inland cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nimekwambia southern bypass ina interchanges kuliko tanzania nzima.
 

Southern bypass ina interchanges nyingi kuliko nchi maskini duniani.​

Kwanini mnapenda kushindana uongo uongo.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Ili Nairobi iishinde Dar lazima utaje majiji yenu mawili .. barabara zote ulizatajiwa zipo ndani ya Dar es Salaam, nyie Mnataja barabara kibao mpaka za mikoani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . Ulishaambiwa kitambo Dar ni kubwa mara tatu kwa Nairobi. Any way heb taja vitu (miundo mbinu) ambavyo vipo NAIROBI havipo DAR, alafu Mimi ntakutajia vitu zaidi ya kumi ambavyo Nairobi hakuna kabisa
 
A temporary occurance na ni historia tu., wewe Dar ni ushuzi 24/7.., aerial view iko clear.., unapata taabu sana., soma your response uone ulivyo ovyo, nani kasema Nairobi ni Tokyo? nakuambia uko ovyo nanii..,
Kama una ubavu omba battle ya water and sanitation project in Dar versus Kunyaland nzima tumalize ubishi
 
Skuizi mmekua waoga wa nairobi, sasa hizo bridges zijengwe wapi kwa inland cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nimekwambia southern bypass ina interchanges kuliko tanzania nzima.
Ndio mana nikakwambia battle ya DAR lazima muhusishe NAIROBI NA MOMBASA ndio muweze kushindana nayo kwasababu Dar Ina kila kitu, Ina kila sifa, kwanini hamtaki kukubali huo ukweli .. .?
 
Kama we kidume leta Estate mpya kabisa ya naipori haijawahi kuwekwa humu ndani na iwe 45 kilometers kutoka CBD


umeandika kwa uoga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ona unavyo jikinga kwa masharti kisa unajua kile utapata,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nikama na mimi nikuambie leta picha ya national park 20 km from dar na iwe na wanyamaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ eti na iwe mpya kabisa, kilaza weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila nitakujibu tu kwa vile hii ya estates hamuwezi kamwe, zipo..,
ama utaanza wimbo wa kukana Nairobi metropolitan kwa vile inawaumiza zaidi..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Just a taste
Syokimau..,
1626246909528.png

1626246926967.png

Green Park, Off Mombasa road, Athi
1626247269887.png

1626247296403.png

1626247328728.png
 
Back
Top Bottom