Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ngoma ingekuwa Dar pangependeza sana, tatizo kinachoharibu nchi nyingi za Afrika maudongo mekundu yanaharibu mandhari. Ona hapo Ghana infrastructure ni nzuri lkn hayo maudongo yametoa ladha yoteee.
Awajaa ata mji wao pia niwakishamba sanaa...ila roads wako vyema
 
Jamaa wapo kimya[emoji1787][emoji1787]
Wanafikiria hatujui lkn tukio lote tunalijua ni vile umbea hatupendi
 
kijiji cha nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti nini? rudia tena? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., Dar is slum ni urbanized!.., hiyo ushuzi 90% ni urban?😂😂😂😂., urban 10%.., mashambani 90%.,
Tafuta hilo shamba Dar uniletee, nimeweka Google maps zikionesha Dar is whole developed mpaka kwenye boundaries wakati Nairobi ina mapori na mambuga ya wanyama makubwa kuliko eneo lilokua developed thus making Dar 10 times developed than Nairobi ukichukulia Dar ni kubwa mara 3 ya naipori-slums-everywhere!
 
Ukubwa wa Dar ni udongo na low life residentials.., mikwara wa vijijini wamejaza mji kutafuta "maisha" kwa mji masikini!😂😂 developed area ni less than 10%.., ama unamaanisha ujenzi wowote ule ni "developed".., 😂 .,
 
Dar has more than 120km of dual carriageway CBD - Tegeta 35km, CBD - Mbagsla 25 km, CBD - mwenge via Mandela 25km, CBD - Kibaha 35km, bado sijahesabu barabara fupi za less than 15km
Dar hakuna dual carriageway ya 30km to CBD. Hata 20km ni ngumu pengine moja hata mbili i doubt. Munaingia mara kumi kwa Nairobi bila proper infrastructure. 😄 Development sio city boundaries wadau. Dar is a very small commercial city surrounded by a very big unplanned bedroom.
 
Ukubwa wa Dar ni udongo na low life residentials.., mikwara wa vijijini wamejaza mji kutafuta "maisha" kwa mji masikini!😂😂 developed area ni less than 10%.., ama unamaanisha ujenzi wowote ule ni "developed".., 😂 .,
Exactly 😄 That's why its a tier 3 city. Its an economic dwarf when compared to Nairobi.
 
Kumbe hata hii ligi ya dual carriage hawawezani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna any 30km dual carriage to CBD hata 25km bado ni ndoto. Outering Road ambayo hata haipitii CBD is longer than any dual carriageway heading to Dar CBD.
 
Kipi kinachokufanya unaamini kwamba naipori imeendelea kuliko Dar?

Ina electric SGR?
Ina 3 level interchange?
Ina BRT system?
Ina better access to clean water?
Ina concrete jungle like Dar has?
Ina millionaires than Dar?
Ina recreational parks like Dar?
Ina modern airport?
Ina modern stadium?

Ina nn kinafanya kuamini ivyo? Are you mad? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umesahau usafi mkuu🙂
 
Ukubwa wa Dar ni udongo na low life residentials.., mikwara wa vijijini wamejaza mji kutafuta "maisha" kwa mji masikini!😂😂 developed area ni less than 10%.., ama unamaanisha ujenzi wowote ule ni "developed".., 😂 .,
Mbona unaropoka kama mfu?

Dar ina ukubwa kiasi gani na ina watu kiasi gani?

Nairobi-slums-kushoto-kulia ina ukubwa kiasi gani na ina watu kiasi gani?

Utaona namna naipori-slums-everywhere ilivyo kimbilio la mafukara wote wa jangwa la Kunyaland 😂😂😂
 
ila guys sioni kama mama anafanya kitu[emoji854][emoji854][emoji19][emoji2960] kazi kwenda dodoma na kurudi Dar na kupigiana simu na viongozi wa nje ..
i wish 2025 kwa hiari yake mwenyewe akubali kuachana na Urais afu Majaliwa ndo awe rais
Keshachemka kitambo sana mkuu, mwisho atageuka mpiga dili mana hakuna kazi rahisi kama u rais but hakuna kazi ngumu duniani kama u rais ikiwa unawajibika.
 
Hakuna any 30km dual carriage to CBD hata 25km bado ni ndoto. Outering Road ambayo hata haipitii CBD is longer than any dual carriageway heading to Dar CBD.
Mzee unapoongea issue kama hizi jitahidi kuondoa upumbavu kichwani. Barabara zote zinazotoka city center kwenda border ya Dar na mkoa wa pwani mi Dual carriageways

Ngoja nitakupatia uone Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…