Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitengela is better than kigamboni Dar.
Oh!! Tangu nizaliwe sijawahi kupata shida wanayopata wakenya hawa:-
Screenshot_20210712-195229.png
 
Uliambiwa ujifinze meaning ya 3 level interchange kwanza ndio uanze kuongea and from what I'm seeing I'm pretty sure you still don't know the meaning of a three level interchange.
Iko wapi ss c uonyeshe ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sana yn watu wanataka kufananisha Nairobi na Dar interms of development wkt huo huo moja ina modern facilities nyingine haina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ignorance ni mbaya [emoji23] [emoji23] ., full mkwara, semi illitrate, hauna lolote kwa vile wewe hauna uwezo wa kuelewa anything economics, haukuenda shule fully, u are a failure mr google, umejianika wazi wazi, peupe[emoji23][emoji23][emoji23] bora ungefyata tu., ni kazi ngumu kuelimisha makajamba kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unapata tabu sana., ugua pole pole bro, utapona, najua ni uchungu lakini itabidi umevumilia zaidi.,
Ingekuwa PPP wangeweka Mombasa port rehani?
 
Back
Top Bottom