Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Noma sana aloo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji1241][emoji117][emoji91]
Kigamboni-Bridge-Wikipedia-mycQytx19pCgCM.jpg
 
This thread has its standards, usiletee mada za kijiweni hapa. From now on ukija na battles za kipuuzi unakosa wachangiaji. Mwengine juzi ameanzisha battle ya sijui ya kupost mahindi [emoji1787][emoji1787]
 
Basi chagua wewe mana wakunya now mmekuwa waoga sana cz mlikuwa mnategemea battle ya universities tumewaacha midomo wazi, huu uzi umewafumbua macho sana.
 
Raha sanaa aloo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanaogopa kama wameona kifo wanafanya kuchungulia tuu, tia pua uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This thread has its standards, usiletee mada za kijiweni hapa. From now on ukija na battles za kipuuzi unakosa wachangiaji. Mwengine juzi ameanzisha battle ya sijui ya kupost mahindi [emoji1787][emoji1787]
Yani hawaamini mazee, kinara wao kaingia mitini mpaka sasa
 
Huwa nafurahi sana nikiona wakunya wanatetema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi ina vyuo sawia na vyuo vyote tanzania km nchi, jana niliweka hapa jamaa wakatimua mbio[emoji1787][emoji1787]
Kilaza mwenzako the best alijaribu kunengua lkn akateleza na kupiga chini, sai napata habari yupo mhumbili kiuno hakijakaa sehemu yake vziuri..
Uliweka nini?
 
Wewe sema ukweli sio ku bit around the bush,ni hivi kwenye ubora wa kilimo,teknolojia nk hatuwezi kuwafikia Wakenya na tunatumia mbegu zao nyingi na kujifunza kuanzia kwao .

Wao wame venture kwenye plantation kitambo na hata small scall farmers wao wako advanced.
same time wanategemea chakula cha kuimport vitunguu, ndizi, mahindi, mchele kutoka kwa small scale farmers wa Tanzania. hapo nashindwa kukuelewa hapo wameadvance kuelekea positive au negative side in terms of crops production s
 
Back
Top Bottom