THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Phase one ilichukuliwa kama pilot study tutegemee maboresho mengi zaidi kwny phases zinazofuata wahusika wenyewe walishawahi kusema juu la hili.Kituo cha Mwendokasi kinachojengwa Ilala Boma ni kirefu wakuu. Nadhani ni zaidi ya mita 200.
Tumaini lenu la Universities tumelizima kama mshumaa.Kiswahili kitukuzwe, jamaa kasepa kijanja 😂 😂 😂 😂 😂
BRT ya Kenya imekaa kisiasa,kituo chembamba kweli,halafu mpk leo bado kiko kimoja no dedicated lanes no platform,"tumetekeleza" si tuliahidi BRT haya hiyo hapo na ni kweli😂 😂 hahahaPhase one ilichukuliwa kama pilot study tutegemee maboresho mengi zaidi kwny phases zinazofuata wahusika wenyewe walishawahi kusema juu la hili.
Tuendelee sasa nikuchape ile huwezi hata ongea leta hizo University unadangaya uko nazo ukiweka vibandaTumaini lenu la Universities tumelizima kama mshumaa.
Unadhani mimi ni jobless kama wewe. 🤣 🤣 Nilikupatia kazi ya Software Development ukanikimbia. Acha ubabaishaji.Tuendelee sasa nikuchape ile huwezi hata ongea leta hizo University unadangaya uko nazo ukiweka vibanda
Chembamba??? kwani ni soko ndo iwe kubwa? Bararani Huwa hakuna watu wengi wa kuabiri basi mbona kiwe kikubwa??? Ama cha maridadi tu???? Bro kuwa logical wacha kuongea for the sake of talkingBRT ya Kenya imekaa kisiasa,kituo chembamba kweli,halafu mpk leo bado kiko kimoja no dedicated lanes no platform,"tumetekeleza" si tuliahidi BRT haya hiyo hapo na ni kweli😂 😂 hahaha
Mimi ndo nilikuambia kazi yako iwe demanding???? Bro me I work smart. I work hard but am hardly working but still I make it... this life is for the taking haitaki hasira na makasiriko hehe so kama huna picha haithuru kusema nimeishiwa kaka 😊 itakua ungwana but hizi sasa vile utapa tapa Heshima yako inaishaUnadhani mimi ni jobless kama wewe. 🤣 🤣 Nilikupatia kazi ya Software Development ukanikimbia. Acha ubabaishaji.
Mimi since tuanze battle Jana sikutulia muda wowote. Unakuja kwa kuvizia. Unaondoka tu bila kutoa taarifa then unaibuka. Mzee on nimeweka vyuo kibao.Mimi ndo nilikuambia kazi yako iwe demanding???? Bro me I work smart. I work hard but am hardly working but still I make it... this life is for the taking haitaki hasira na makasiriko hehe so kama huna picha haithuru kusema nimeishiwa kaka 😊 itakua ungwana but hizi sasa vile utapa tapa Heshima yako inaisha
Najua mpaka sasa kuna vitu umejifunza.Chembamba??? kwani ni soko ndo iwe kubwa? Bararani Huwa hakuna watu wengi wa kuabiri basi mbona kiwe kikubwa??? Ama cha maridadi tu???? Bro kuwa logical wacha kuongea for the sake of talking
Mm mwenyewe nimeshangaa sana mkuu.Kituo cha Mwendokasi kinachojengwa Ilala Boma ni kirefu wakuu. Nadhani ni zaidi ya mita 200.
Institute of Rural Development Planning
View attachment 1848024
View attachment 1848025
View attachment 1848026
View attachment 1848029
Duuhh kaka salute, kumbe ulikuwa bado unawanyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Institute of Tax Administration (ITA)
View attachment 1848030
View attachment 1848031
View attachment 1848032
View attachment 1848033
View attachment 1848034
View attachment 1848037
Hehehehee walikuwa wanaulizia Aquatic stadium [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bandari University College
View attachment 1848003
View attachment 1848004
View attachment 1848005
View attachment 1848006
Ndo nilitaka niulize mbn baba lao hujaweka wkt wao wamemaliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado sijaweka University of Dar es salaam
Hiyo itabishana na University of Nairobi
Nimejifunza wewe kumbe mlagai tu you dont value dignity and you ain't a gentleman Bora Geza Ulole he sometimes stands for the truth mwambie akufunze kuwa mugwana kidogoNajua mpaka sasa kuna vitu umejifunza.
Usiichulie Tanzania na propaganda mnazolishwa.
Ilete we compare with our number two hata si number one we see tuchambue everythingHuko usiguse kabisa utaaibika
Hamna University kumbe mwenzako Amekua akipost institutes hehe tukianza institutes labda nikue napost list after list kama pichakomora096 vipi bado unaiamini Google kwamba tuna universities 40?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
See what a a shame hehe ati rural development instituteDuuhh kaka salute, kumbe ulikuwa bado unawanyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
These lazy bones need to be reminded that Kenya is way ahead of them in many spheres. Hizi kelele za uzalendo is not enough to topple Kenya at the helm of East African economic and sociopolitical game.Itakua vigumu kuelimisha a Tanzanian with blind patriotism syndrome., hawezi kuambilika chochote ambacho hakiambatani na fikra zake., utachoka buree., bora u just post undeniable facts.,