Kwa hiyo pesa sija nunua hiyo gari labda wanazitoa bure. Mleteeni mabasi ya Dar Coach ajionee wakati mimi nampatia dozi nyingine. Tunataka ujue made in TZ ni nini.
najua bado ila atleast wanajaribu...wapi made in tz car? lol! ama kweli nyani haoni kundule...kisha pengine nikuelimishe kidogo...gari hili ni low-cost car...hivyo haina mambo mengi...unaeza ukapata gari hii haija fika hata $10,000...ndio maana iko vile...