watz tumeweka vitu vingu sana kwa Uzi huu,tumeweka mpaka mazao yanayolimwa tz,samaki,nyumba binafsi zinazomilikiwa na watz wanaishi dar,magari ya kawaida wanayoendesha wakazi wa dar,nightclubs n.k...na bado tunaendekea kuweka vitu vipya kila siku.
ila nyinyi wenzetu since day one up to date,mumejikita ku-repost cbd tu...kila mkenya akiamka asubuhi,kitu cha kwanza ni kurepost cbds...cbd this cbd that....guys,maendeleo sio magorofa peke yake.hata north Korea ina magorofa na flyovers nzuri sana lakini watu wake wanakufa kwa njaa,maradhi.
jaribuni kuwa wabunifu.ni ushauri tu.