Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna oparesheni spesheli imeanzishwa ya wanajeshi wa kenya kule Boni forest... hio pia ilianza miaka 3 iliyopita? Google mambo bro...ignorance is very unattractive...
😀😀😀😀 wasomali watazaa na nyie mpaka kieleweke
 
made in Kenya car...bado ila tunajaribu
mobius.jpg
 
😀😀😀😀 wasomali watazaa na nyie mpaka kieleweke
haya basi tuachie shida zetu tupambane nazo....ila kumbuka, Mwenzako akinyolewa....the only thing separating somali from tz is kenya...be thankful wajafika huko...
 
najua kaka...punguza mihemko sasa...nimeongelea Nairobi apartment wala sio SA...😀😀...utaanguka mtihani ukijibu maswali usiyoulizwa...
Dar anamajumba ya kifahari mpaka yamemshinda
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hii ni nini????? Au toy😀😀😀😀😀
najua bado ila atleast wanajaribu...wapi made in tz car? lol! ama kweli nyani haoni kundule...kisha pengine nikuelimishe kidogo...gari hili ni low-cost car...hivyo haina mambo mengi...unaeza ukapata gari hii haija fika hata $10,000...ndio maana iko vile...
 
najua bado ila atleast wanajaribu...wapi made in tz car? lol! ama kweli nyani haoni kundule...kisha pengine nikuelimishe kidogo...gari hili ni low-cost car...hivyo haina mambo mengi...unaeza ukapata gari hii haija fika hata $10,000...ndio maana iko vile...
Hebu google simba motors tanzania alaf utaona ya tanzania😀😀😀😀
slider16.jpg
 
nchi zote duniani zatengeneza hayo mabakuli..hata Syria na Afghanistan...sasa upunguze aibu...lol! leta gari kama hii ambayo ni made in kenya http://www.pulse.com.gh/innovation/photos-the-made-in-kenya-car-set-to-compete-with-ghana-s-kantanka-id6017243.html
sio mabakuli...lol!
Kwikwikwikwi, yaani wewe ndio mshamba wa kwanza duniani. Naona wivu unazidi kukuua. We made for Tanzanians na ziada tunauza nje. Kwikwikwikwi.
Ninakuonesha all about made in Tanzania unatakiwa uwe mpole nitakuletea na nguo zinazotengenezwa TZ tunauza kwenu. Kile kipindi cha kenye kimeshapitwa na wakati sasa hivi ni new generation kuwa mpole wakati nakudunga sindano.
 
Back
Top Bottom