Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ningeomba serikali ya kenya na tanzania ifatilie hii ID inayojiata The best 007 sababu inapanga shambulio la kigaidi kwa barabara yetu tukufu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Shenzi type,,ikikamilika najaza server na pictures,,aanze matibabu ya moyo mapema😁hii gaidi best 007 nmegudua akili yake ni best 000 brains🤣🤣
 
Wakunya nawapelekea moto [emoji91] mpk mnanichukia shenzi, hapa ni facts tu, nchi yenu ni ya kipuuzi sana inatoa ahadi ambazo haiwezi kutekeleza, mpk leo zaidi ya 50% budget yenu inafadhiwa na outsiders shenzi sana Kunyaland, yn mkenya yupo jehanam kabla hajafa alafu mnakuja kujilinganisha na Tz labda dunia iumbwe tena.
 
Kwani ukiskia real estate kwanza unaelewa nn ??? 🤣🤣🤣🤣 yani unachekesha sana unazungumzia utajiri wa eneo wakat 75% wako kwenye slums maisha ambayo hata nguruwe hawezi ishi, nchi ambayo wanafaidi wajanja tena makabila mawili tu kalenjin na kikuyu wengine kwangu pakavu tia mchuzi
Dar mtu kumiliki nyumba zaidi ya 30 ni kitu cha kawaida sana yani haoni ajabu sio nyinyi unakuta tajiri mmoja anamiliki estate ya 40b kirubi alaf wengine watamiliki nn na nusu ya eneo la nairobi ni misitu na national parks??
 
Na 50 iliobaki inalipa loan na mishahara 🤣🤣
 
Magufuli mungu anakuona, hizi ndo bullet electric trains tulizo ambiwa [emoji1787]
Aibunkweli unajikaza tuu sasa utafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole bana sio kosa lako kuzaliwa kunyaland
 
Kama ilivyokuwa kwenye SGR, tayari wamepigwa tena kwenye BRT. Ona vituo na njia za mabasi zilivyo.
👇👇👇




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…