The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Duh aisee mji km umepigwa bomuManeno yawekwe kando Sasa.
This is kilimani, an aerial view worth salivating for.
View attachment 1843779![]()
View attachment 1843783



Duh aisee mji km umepigwa bomuManeno yawekwe kando Sasa.
This is kilimani, an aerial view worth salivating for.
View attachment 1843779![]()
View attachment 1843783



Kama Dar hapa👇👇., CBD yoote ndani., Ushuzi ndio kubwa uwezi shika kwa picha moja.., but CBD., hamna kitu.., kazi yake tumemaliza.., Kiswahili sasa kitukuzwe tu.., yaani mmebakia na maneno tupu..,Part ya westland ndani alag unasema still kilimani 🤣🤣🤣🤣 akili yako na ya mwenzako ziliishia kwneye matundu ya vyoo vya bar??
Nairobi ni ndogo sana ndio maana unaona picha moja imekusanya westland, CBd pamoja na upperhill 😆😆😆😆😆
Fukara ni jina lenyu la katikati..,😂😂😂., usijaribu kutugeuzia.., hiyo ni yenyu, ina sound tu kama Tanzania kabisaa., Mifukara., yaani nchi fukara, watu fukara😂😂😂Wewe fukara wa EA upoo![]()
Nimemmis sn huyu mzee deadly, nimemis speech zake kinoma noma, kweli dunia tunapita.
Huwezi amini jana tu nimemuota aisee, RIP Magufuli, the original pan Africanist.
Huwa nasema hapa Kenya ni Mavi mnaona natukanaMijitu haina kaziona ilivo mishamba










Kuna aina tatu za photographsTuweke maneno kando kidogo.
This is Nairobi.
View attachment 1843841View attachment 1843846View attachment 1843851
Pembeni yake kdg tu kuna uharo km unabisha niwekeTuweke maneno kando kidogo.
This is Nairobi.
View attachment 1843841View attachment 1843846View attachment 1843851






Apige yeye ana camera? Maskini wa kutupa uyoKuna aina tatu za photographs
Huwezi kabisa kupiga Oblique na Vertical.
- Ground (Horizontal) Photographs.
- Oblique Photographs.
- Vertical Photographs











Facts will kill them.., CBD Dar ni ndogo sana!!!., hiyo kwa sasa iko wazi., Sq km my foot!😂😂😂., imejazwa na unplanned village housing, eti middle class residentials., even worse!😂😂😂 Town ni ndogo sana and less developed kwa Nairobi CBDs..,Na huo udogo wake bado Nairobi ni two times wealthier than Dar😂😂.
Mbn huwa unajichanganya? Mara useme Tz ni Dar tu mara useme imejazwa na unplanned settlement inferiority complex itakuuaFacts will kill them.., CBD Dar ni ndogo sana!!!., hiyo kwa sasa iko wazi., Sq km my foot!., imejazwa na unplanned village housing, eti middle class residentials., even worse!
Town ni ndogo sana and less developed kwa Nairobi CBDs..,




Huyo hatuwakilishi sisi, anawakilisha bongo, yaani Tanzania 😂😂😂., jamaa waki mu interview huwa namuonea haya., reasoning yake ni uchwara sana, kama wengi mlivyo jidhihirisha humu., talent yake inafunika hiyo aibu afadhali., lakini maisha yake na fikra zinamuumbua😂😂., afadhali angekua na hiyo maisha yake crooked kama vile celebrities kadhaa hukua, but strong in articulating issues, stable mind and rational reasoning. But Diamond ni fala, with all due respect for his talent 🙏.,Kama Diamond ni mpumbavu manaake anawakilisha wapumbavu EA![]()
Hiyo ndio kitu inasumbua huyu mtanganyika. Anafikiri Nairobi ni kama Dar that has linear type of development. Nairobi iko na maghorofa marefu kila kona, sio kama Dar ukipiga picha ni uswazi kila mahaliWewe hunanga akili, so nyumba refu isionekane kwenye picha cause haipo Kilimani? Ama unapinga kuwa happy sio Kilimani?😂😂😂





Weka hayo maghorofa tuyaone alafu na mm niweke ya Dar ili tulinganisheHiyo ndio kitu inasumbua huyu mtanganyika. Anafikiri Nairobi ni kama Dar that has linear type of development. Nairobi iko na maghorofa marefu kila kona, sio kama Dar ukipiga picha ni uswazi kila mahali



