Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyeenyee tumeshinda alshabab


haya nambie mwaka wa ngapi huu! huyu na wenzie zaidi ya60 mtawaokoa lini maana waliolewa na wavaa yeboyebo

morali itatokea wapi kwa jeshi dhaifu hivi View attachment 1835131View attachment 1835132
Hamuwezi vita, kubalini mlipigwa na watoto wavuta bhage, Comoro mkacharazwa huku wengine wakifa maji, na typhoid juu, Darfur kule hata usiseme! POW hutokea vitani, hata the so called first world nations, wanajeshi wao mara ngapi tumesikia wakichukuliwa mahabusu wakiwa vitani. Mangese walimkimbia hadi Amin, baada ya kupata msaada, ndio mkajipeleka. Mngefutwa kwenye ramani ya dunia nyie ka si usaidizi. Uliona wapi nchi askari magereza, traffic, askari usalama hadi wahudumu wa mortuary wanapelekwa vitani kusaidia jeshi lao hafifu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20210629_124749.jpg

Screenshot_20210629_124450.jpg

Mjaribuni sahi, M7, muishie kulilia chooni, panya buku nyie! Hawatumii mchina waganda wa sahi! 🤣 🤣
 
Wazee wa ugali, akili hawana kwa kuendekeza unga tangu wakiwa watoto
Wazee wa wali, ndio maana mnagongewa nje, sababu kitambi na ile issue ya wakubwa haviendani kabisa! 🤣 🤣 🤣
Alafu nyama ya watu mbone mnapendaga, hakuna ng'ombe na mbuzi nk huko? 😂 😂 😂
Tanzanian man 'beheaded and cooked' after adultery claims
A local leader in Tanzania was attacked and beheaded by a gang of men, who then cooked some of his body parts, allegedly following accusations of adultery, police …
 
Na post moja unajibu na co unavizia mada imepita ndo unapost kwa kuchungulia, yn mm nipost 10 wewe upost moja, twende kazi Wakenya nimeanza battle ya stadiums.
 
Wewe huna akili, what's the need of building one big stadium in one place when you can buid many small stadiums using the same amount? No wonder in Tanzania anything meaningful is in Dar. In Kenya all the 47 counties are building their own stadiums, ukitaka evidence I can show you construction progress in those counties. Huko kwenu three quarters of the regions have no stadiums cause Tanzania is Dar is slum and Dar is slum is Tanzania.
True, naeza prefer tuwe na viwanja 20 za 15k capacity ambazo zimecover almost the whole of kenya kuliko kuwa na viwanja vikubwa 3-5 in the major cities
 
Back
Top Bottom