Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Km hujaelewa hapo pole sana, mwambieni domo aumize kichwa akitaka kuchukua BET
 
Sio kila inflation ni biting,na in fact inflation ndogo kwa Nchi maskini kama za Africa ni hasara kuliko kuwa na tija.

Inflation ikifikia double digits ndio tatizo lakini hiyo ya 6% ni health Sana kwenye uchumi kuliko ya 3-5%
Kilaza uliotukuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante kwa ushuzi
 
Mbwa wa kubweka hawezi uma chochote nkt
 
Mbona unaumwa kichwa na hiyo sehemu kuwa captured in the same pic? Afadhali hapo kumepangika na kumejengwa majengo. Angalia ushuzi inayozunguka cbd yenuView attachment 1837130View attachment 1837148View attachment 1837156View attachment 1837157
Kwann mzungu asiwe na akili zaidi kuliko wewe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ fananisha tuone kwann mzungu alikosa slum dar na hataipata mpaka ardhi ipasukeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwa hivyo leo mzungu ni mjinga? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Anyway it won't be the first time mnakana picha za Dar and it won't be the last time
Tengeneza blog weka picha za congo sema dar as usual 🀣🀣🀣 kama mulivofanya hii ya kibera
Munazungukaaa weee mwisho wake munakalia dole wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…