Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiwanda cha Viatu vya Ngozi Magereza Moshi (Made in Tanzania)

image_3.jpeg


PIX4.JPG


photo%2B5.JPG



PIX3.JPG


Fundi2.jpg


Cq3r7kAWcAEg2o8.jpg
 
Dint say tushindane,wewe everything ni ya kushindaniwa,I said I dont like Tanzanian graffiti ikona ushamba mob

Post sent using JamiiForums mobile app
Ushamba kwa standard za kibera. Sisis hatuna flying toilet. Kama ujanja ndio huo wa kuwa na flying toilet ngoja nibaki mshamba mimi LDC.
 
Umeanza ututo. Hivo huwo uchafu wamarangi na graffiti mnaonekana local sana. Gari inapotoka kiwandani inakuwa clear with one colour. Kwahiyo registration ya kadi ya gari. Kwenye sehemu yakuuliza colour mnaandika Graffiti??
hao ndiyo zao hawana hata akili .....hata matatu yao siunayaona
 
norwegian ambassador to tanzania is having some good times in ruaha.
2deffdd2a033bc42c82fbebc79b5a381.jpg
8a1fa06941a50cc84a7d2e1af78d6897.jpg

plz Kenyans,leave her alone...msiende kwenye account yake kuvuruga bata lake analokula huko ruaha.

bakini kule kwenye page ya Wayne Rooney.
 
Nimesema yes it is a Kenyan company(bus car) lakini bus zao wamenunua kutoka kwa Dar Coach ambao ni Bus manufacturing company kutoka TZ
sasa ivi tunawauzia vitu vingi tu hawa wakenya.....tunawatafuna kimya kimya
 
Back
Top Bottom