The woman alitumia mbinu zake na sasa kajengewa, maish ni ujanja..km unateseka unatafuta mbinu za kiusanii na unatoboa tu..sai unavyojitapa hapo kajengewa nyumba na hela kapewa na ywaishi maisha mazuri kuliko shangazi yakoEndelea kukana picha za nduguzo.
Endelea kuweweseka.The woman alitumia mbinu zake na sasa kajengewa, maish ni ujanja..km unateseka unatafuta mbinu za kiusanii na unatoboa tu..sai unavyojitapa hapo kajengewa nyumba na hela kapewa na ywaishi maisha mazuri kuliko shangazi yako
Tena usisahau huwa tunawasaidia kule kukiwa na ukame ndio waweze kupata kula na kulisha mifugo yao during that period, sababu hawawezi na hawataki kutoka kule, it's their homeland, and pastrolism ndio main bizna yao. Huku kwetu hadi conservation sites and parks zinawapa boost Sana, from selling their traditional regalia to tourists na bado funds from the parks are used to uplift their communities. Park wardens and KWS officers, wao ndio huwa kipao mbele kule, coz they're sharp and know the terrain better, it's their home.Sasa masikini atoe hela wapi ya kuishi maisha mazuri? Mtu kama ni masikini ni masikini. Stop sugarcoating things here. The number of people living below a dollar a day in Tanzania is much higher than Kenya na bado uko na nguvu ya Ku sugarcoat things here
Hiyo naona ni brand ya India ka sijakosea. 😂Jamaa kumbe wanatumia Nescafe
Huoni tunapunguza, nyie mnapanda daily ju ya kula mihogo + chai rangi, Kiepe + kitimoto, viazi + ndizi, alafu wali unawatia vitambi ka sio safura! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kelele zote hizi nikajua kenya hakuna malnutrition kumbe ni mule mule
As of April 2021, 26.2 percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Kenya.
![]()
Kenya: child malnutrition 2021| Statista
As of November 2021, **** percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Kenya.www.statista.com
😂 😂 😂Ya china![]()
Pesa atoe wapi, mpaka auze sasa, alafu karibia kila mtu ana shamba, so unauzia kiasi, zingine waste! Ndio utapia mlo unapanda huko, same msosi everyday!Hawa majamaa wana tabu sana kusema ukweli, jamaa wana haki ya kuwa wakulima manake haswa..
Jamaa hata hela ya unga hana, inabidi anachuma mboga shambani hku akizichemsha apate kula na ugali wa mhogo
toa maelezo basi ni wapi na hiyo ndege ya nani na ya nini?
Imekuja tena?
Kuna aliye ona jana ndege ya kijeshi ya mizigo ya marekani Globemaster III (C-17) katika uwanja wa ndege wa JNIA?
imeleta corona vaccine?
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank Report.
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
Umaskini kama huu sijawahi kuuona Tanzania.
Kwani kuna virusi vya C-19 huko kwenyu??? 🤔😳😲imeleta corona vaccine?
Wangekuwa na uhakika was kula hawangekuwa wanakuja Kenya kuomba kwa streets.