Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Garrisa
IMG_20210702_105533.jpg

Wajir
IMG_20210702_105516.jpg

Taita
IMG_20210702_105545.jpg

Marsabit
IMG_20210702_110010.jpg

IMG_20210702_110021.jpg

IMG_20210702_110031.jpg

IMG_20210702_110040.jpg
 
Nyinyi mmejituma kiasi gani kutoka kwenye hili kundi?View attachment 1837502
Huwa neno umasikini ukitajwa popote humu unaumia balaa
Masikini wa Tanzania ana uhakika wa kula na maisha mara mia zaidi ya masikini wa kenya failed state.

Utabaki unatembeza hiyo screeshot miaka na miaka huku njaa ikiwatandika kila mwaka.

Tunadeal na vitu kwa ground hatudeal na makaratasi.
 
Wangekuwa na uhakika was kula hawangekuwa wanakuja Kenya kuomba kwa streets.
 
Sasa masikini atoe hela wapi ya kuishi maisha mazuri? Mtu kama ni masikini ni masikini. Stop sugarcoating things here. The number of people living below a dollar a day in Tanzania is much higher than Kenya na bado uko na nguvu ya Ku sugarcoat things here
 
Msinililie mimi mlilieni anayesababisha mfike hapa.

Na hutoona wakunya wenzake wakimsahihisha

Wanapenda fake life kuliko kujituma kukomesha njaa inayowatandika kila mwaka tena karne hii ya 21.
Karne ya 21 bado utapia mlo unawamaliza?
Tanzania: children malnutrition 2021 | Statista
As of April 2021, 31.8 percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.
 
Wasikubabaishe hao mataga masalia ya mwendazake,Dar karibu yote na Tzn kwa ujumla ni slums tena bora Mikoani sio huko Dar.

Tofauti yake na Kenya ni kwamba huko Nairobi kumegawanywa slums za maskini ambao ni maskini kweli na mitaa ya wenye nacho kwa hiyo kiujumla Mji unakuwa vizuri sasa huku Tzn ni mchanganyiko,mbuzi na mbwa,wenye nacho na maskini kiasi kwamba Mji wote unaonekana ni hovyo kwa sababu maskini ndio wengi.
Wewe ni mtanzania?
 
Kazi ya Mchina Kunyaland utaijua tu! Shaghalabagala...!! Tuta huku tuta kule katikati wachia mama Ngina na Wakunya woote!!

Tayari inamong'onyoka! hamna landscaping wala drainage system ya maana...!!

Halafu flying toilets wako hapa wakijitamba!
2826679_13459235_1342632712582377msardnamangardinterchangejpegjpeg0a13eaf0ac01d7efdcbc4bfa1bb6a94cjpe...jpeg
Naziona dalili za Zambia zikianza kwa majirani! Yaani unafungua mdomo kuongelelea MCHINA, yule bwana yenyu? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇
Mwisho wao ndio watakuwa marubani!
IMG_20210702_112322.jpg

IMG_20210702_112304.jpg

IMG_20210702_112240.jpg
 
Back
Top Bottom