Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndo maana nillisema hii picha ya chini si Nakuru 👇

2823518_nakuru1.jpg


CC: mwathadan, dyfre n kikihboy
Hiyo ni nakuru. Ama unadhani Kenya ni least developed country like Tanzania. Ingine ndio hii hapa ya Kisumu, umekubaliwa kupinga hii pia.

tapatalk_1622897555346.jpeg
 
Great ..The Western ans Southern Regions are areas with a lot of potential ku stimulate uchumi wa Tz -Agriculture wise very fertile , Kuna Wildlife toursim potential , kuna Ports ,kuna fishing , kuna Coal na Iron ,
Andika kiswahili lugha ya malkia huijui unajiaibisha
 
Bado una maneno ya kanga

Hatupo on paper, tupo on ground dada, hii insha umeandika hapa kwa uchungu mkubwa doesn't hold any water Bwana Mapesa, ukweli ni kwamba Nairobi ni jiji la kitambo sana lenye infrastructures zilizozeeka na isiyo na modern facilities, km unabisha twende groundly basi, the welthiest city inayochapwa vby na Dar kwenye millionaires

Welthiest city iliyojaa slums everywhere

Welthiest city isiyo na Access to clean water

Welthiest city yenye poor public transport

Welthiest city iliyojaa vibaka everywhere

Welthiest city iliyojaa chokoraa

Welthiest city icyo na modern infrastructures like electrical SGR, BRT system and modern bridges like Dar

Welthiest city yenye uchafu kila kona

Welthiest city yenye maghorofa yaliyozeeka na yanayodondoka kila siku

Welthiest city majolity wanaishi jalalani

Welthiest city gani unaongelea wewe
b!@ch please...
talk like you from a 1st world country
AD5FE97F-3A38-47AB-B65F-D0DD24BFCC30.png
AD5FE97F-3A38-47AB-B65F-D0DD24BFCC30.png
AD5FE97F-3A38-47AB-B65F-D0DD24BFCC30.png
A359C04E-361C-45F9-BDD8-51F18BCFFDB2.png
C996029F-25AB-43DE-9F01-17B73082FA16.png
0A82CFFC-BDEC-4988-8891-8863A20D85D2.png
6D569F78-3A25-4707-9F4F-00BEEAD99A69.png
 
Mombasa is getting a serious skyline. Dar should start getting worried.
Very many 20+ floor towers under construction. With the construction of beautiful roads, Mombasa is gonna be more fire in the near future
View attachment 1834839
Actually I was going through a thread about Mombasa on SSC and I was amazed at the number of high rises under construction there. So many 20fl buildings under construction and many others in the pipeline. Dar should be a worried city!
 
Kwao kuona flyover lazima ufike Dar alafu ni moja tu🤣😂🤣. Huku Kenya ziko Kila mahali.
Ninachokikjua ni kwamba deep inside, they know that we are miles ahead of them. Hapa ni uzalendo tu. Nimeshangaa eti hiyo picha ya Nakuru imechanganya huyo jamaa to the point anasema hapo sio Nakuru
 
Back
Top Bottom