The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Karne ya 21 CEO akienda shule 











Kabadili jina tu, id ile ile, ukimquote annael anakuja emc2.
Usiwe mshamba, hiyo ni unveiling tu sio ati mmelitengeza nyie na wala sio la kwanza kutumia gas! 🤣 🤣 🤣Watakwambia wana assemble kwao 🤣🤣🤣










I understand your pain. Hakuna haha tuende kwa ground wakati dunia nzima imejua Dar is slum everywhere, Kila mtu anajua kuwa Dar only have two interchanges and one flyover wakati Nairobi have more than 50.Bado una maneno ya kanga
Hatupo on paper, tupo on ground dada, hii insha umeandika hapa kwa uchungu mkubwa doesn't hold any water Bwana Mapesa, ukweli ni kwamba Nairobi ni jiji la kitambo sana lenye infrastructures zilizozeeka na isiyo na modern facilities, km unabisha twende groundly basi, the welthiest city inayochapwa vby na Dar kwenye millionaires
Welthiest city iliyojaa slums everywhere
Welthiest city isiyo na Access to clean water
Welthiest city yenye poor public transport
Welthiest city iliyojaa vibaka everywhere
Welthiest city iliyojaa chokoraa
Welthiest city icyo na modern infrastructures like electrical SGR, BRT system and modern bridges like Dar
Welthiest city yenye uchafu kila kona
Welthiest city yenye maghorofa yaliyozeeka na yanayodondoka kila siku
Welthiest city majolity wanaishi jalalani
Welthiest city gani unaongelea wewe![]()




Bwahaha!!kdf wanajua kutunza bana, huoni wasomali wa jubaland wanatukubali sana..Sasa hapo c kategesha foto tu kwani hujui jeshi lenu ni wazee wa maonyesho![]()
Hahahaha!!tosha msamehe jamani, unaua mjusi kw risasiSiku hizi umeishiwa na tumaini Sana, you lack the bravery to defend Dar is slum against Nairobi. Here are some facts.
1. Nairobi is the wealthiest city in East Africa and fourth wealthiest city in Africa.
2. Nairobi is the most innovative city in Africa, Dar is nowhere to be found.
3. Nairobi is the second city in Africa when it comes to start up, first is Lagos. Dar is always dead.
4. Nairobi has more international organization and companies than the rest all East African cities combined.
5. Total number of paved roads in Nairobi is bigger than that of entire Tanzania.
6. Nairobi has the busiest airport in Africa in cargo handling and the second busiest airport in East Africa in passengers number after Addis.
7. Nairobi has the biggest shopping mall outside South Africa and North Africa. Dar Haina mall according to Kenyan standards.
8. Nairobi has the best hospitals in East Africa, that's why magu-fool came to seek treatment in Nairobi.
9. Nairobi has the tallest building in East Central and Western Africa. Dar does not appear in top 10.
10. Nairobi public transport is far much better than Dar's.
11. Nairobi real estate is better than Dar.
12. Nairobi has better schools (University, Secondary and Primary) than Dar.
14. Nairobi economy is so much superior than that of Dar.
15. Nairobi has higher electricity connectivity than Dar.
16. Nairobi has better entertainment facilities than Dar.
17. Nairobi has more interchanges, overpasses and flyovers than all East African cities.



Si tulielewana maonyesho ndio haya jamaniSasa hapo c kategesha foto tu kwani hujui jeshi lenu ni wazee wa maonyesho![]()

leo imekuaje tena




Hii huitaki au










Unaongea hapa wakati Tanzania iko na flyover moja nchi nzima, wewe huoni hiyo aibu?🤣🤣😂
Hawa ndio wale walikatwa kwa panga kule Kongo?
with light rail unamaanisha trumps mkuu au?