President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Wakenya wezi wanaiba mpaka picha ๐คฃ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Iwe ya Mexico, iwe ya Kenya... Bora ujumbe umefika. Yote ni WRC... ๐ ๐ ๐ ๐
Wakenya wezi wanaiba mpaka picha ๐คฃ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Iwe ya Mexico, iwe ya Kenya... Bora ujumbe umefika. Yote ni WRC... ๐ ๐ ๐ ๐
Pole, sio makosa yetu, WRC ndio wanawaliza najua! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃWakenya wezi wanaiba mpaka picha ๐คฃ ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ntakutafuta unifunze uchawi, sawa?
Wakenya mpo desperate sana. Sasa unaleta picha za Mexico
View attachment 1832413
Namshangaa sana. Wakenya akili zao haziko sawa.hata sielew kwanza anapost humu za nn? au anadhan tunashtuka??
Kule comoro hamkukimbia mlipopigwa wawili chini? ๐Jishebedue uwezavyo ila jeshi lenu ni dhaifu na huu ndio ukweli.
Mwaka jana walikimbia walipovamiwa na wanamgambo kule lamu kambi ya simba [emoji23][emoji23][emoji23]
naona ninyi mnatilia sana maanani bus stations ๐ค๐ค. wakati sisi tunatilia maanani international airtports, sgr stations na international ports...Nakuja kwako sasa usikimbie
Magufuli Bus Terminal Dar es salaam
View attachment 1831702
View attachment 1831707
View attachment 1831719
View attachment 1831720
Wanatuonaga simple kweli, na bado vyuma vipya tunanunua tu. Wacha waendelee na Mchina na failed projects zake! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃTranny Venus de Milo Hamna kitu!KDF PANTSIR S2....View attachment 1831650View attachment 1831651View attachment 1831659View attachment 1831660View attachment 1831652
Evidence plz.Kule comoro hamkukimbia mlipopigwa wawili chini? [emoji23]
Wewe mwenyewe zuzu, kila kitu kwako ni 'transportation vehicle'... Hebu usinichekeshe! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃHakuna chochote hapo mzee anajaribu kuweka mipicha mingi hamna chochote mle. Ni transportation vehicles hizo.
Hamna kitu nyie, vyuma vyote vyenyu vinashika kutu yard, alafu kumbuka hakuna spare, most of your gear are not produced anymore, watu wali upgrade, labda mtoe special order ambayo ni hela yenyu. Mchina ni hatari! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃNa Helicopters nyingi anazopost tayari zilishadondoka zimebaki skrepa.
Unalia utadhani mimi ndio nimefanya jeshi lenu liwe dhaifu.Hamna kitu nyie, vyuma vyote vyenyu vinashika kutu yard, alafu kumbuka hakuna spare, most of your gear are not produced anymore, watu wali upgrade, labda mtoe special order ambayo ni hela yenyu. Mchina ni hatari! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Operation Democracy in ComoroEvidence plz.
Umeshindwa kuleta evidence?Kule comoro hamkukimbia mlipopigwa wawili chini? [emoji23]
Operation Democracy in Comoro
Unakichaa sana Mzee. Acha kujifungia kibera.naona ninyi mnatilia sana maanani bus stations ๐ค๐ค. wakati sisi tunatilia maanani international airtports, sgr stations na international ports...
kwa mfano, tuna int'l airports ka 5!. (mombasa, jkia, kisumu, eldoret, isiolo)..
nyinyi 2 tu! (KIA na nyerere...)
Ati dhaifu, wanaume wanapiga ngoma nzito nzito, nyie shindaneni na wavuta bhage! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Mnatoa hadi vitambi, hamna zoezi? ๐Unalia utadhani mimi ndio nimefanya jeshi lenu liwe dhaifu.
acha kutudanganya mshefa, dar haina cbd, hio nilijua nikiwa high sch, geography lesson
Operation Democracy in ComoroUmeshindwa kuleta evidence?
Kwn huo umeme utaendeshwa na nini mpka uje utumike kw hzo "treni zenu za kisasa mnazojenga"[emoji1787][emoji85]Hazitumii diesel.hii dunia inatakiwa kwenda kutumia nishati rafiki Kwa mazingira.mambo ya diesel ishapitwa na wakati.huwezi kuona nchi inajenga treni za diesel Karne hii ukiacha corrupted countries kama Kenya.