Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hazitumii diesel.hii dunia inatakiwa kwenda kutumia nishati rafiki Kwa mazingira.mambo ya diesel ishapitwa na wakati.huwezi kuona nchi inajenga treni za diesel Karne hii ukiacha corrupted countries kama Kenya.
Alafu kwn kuna nchi ambayo inakenga treni siku hizi mzee wa kujenga treni za kisasa[emoji2960][emoji2960]

We jamaa yani bado hata hujishtukizii, tangia uanze bado unatema upupu tu walai..
 
Operation Democracy in Comoro
Lete evidence hapa tuone wacha maneno mengi.
IMG_20210627_202750_953.JPG
 
acha kutudanganya mshefa, dar haina cbd, hio nilijua nikiwa high sch, geography lesson
Kwahiyo Geography ndo inafundisha CBD, hivi we umeenda shule kweli wewe mana ni vituko tu humu unatoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom