Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have never seen one such stupid person as you. Sasa wewe ni muuza T-shirts? Ama ndo zimebeba ubora wa UZI???? I have touched UZI, I have used it!!! Don't lecture me on guns because you know nothing!!
Pwahahahaha!!! 🤣 🤣 🤣 Naona umeanza kuwehuka sasa. Can you tell me categories of UZI!?
 
Naona umekuja kuharisha maneno.
Wewe mshamba wa kibera utajulia wapi UZI.
View attachment 1830461
View attachment 1830472
View attachment 1830476
Hata hao wenye kutengeza wali upgrade, hawatumii sana. Angalia mitambo, Uzi zipo hata KE, lakini hatuzinunui tena, tuli upgrade! 🤣 🤣 🤣
1024px-IAF_Special_Forces._III.jpg
 
Tanzanians are funny, funny that they see the bad that is with the neighbor and forgets all their problems.

Watanzania husema wao hulisha Kenya. Ni kama wao hutupa msaada wa chakula. Tunatumia pesa zetu kununua chakula. Kuna nchi kama UAE ambayo chakula karibu chote ina nunua. Hivyo hailishwi ila inajilisha.

La pili. Utapia mlo ni moja kati ya vitu vinavyosababisha vifo vingi Tanzania. Hiyo inamaanisha kuwa watu wengi Tanzania hawana chakula cha kutosha. Ama wanachakula lakini hawajui kulinganisha virutubisho vyote. Mtu ale mihogo kila siku mwaka mzima huku akijidai ana chakula.

Kenya, Diabetes ni moja wapo ya vitu vinavyosababisha vifo, kinyume na Tanzania, Diabetes ni ugonjwa unaotokana na maisha ya kujitozelesha (Lifestyle disease) Nchi nyingi zilizoendelea, moja ya vyanzo vya vifo ni Diabetes.

Hapa Watanzania mjifunze kitu, kwamba nyinyi hufa kwa utapia mlo mara saba zaidi ya Kenya, huku kujidai kwenu na chakula kunawaibisha
View attachment 1830498
View attachment 1830501
🙆🏾‍♂️😬
 
Pwahahahaha!!! 🤣 🤣 🤣 Naona umeanza kuwehuka sasa. Can you tell me categories of UZI!?
Stop being silly, listen and learn. You cannot shoot somebody 60M away with an Uzi under automatic fire. It's accuracy is just about 30m. Is that a gun your military can be seen with??? Last time it was produced i believe is in 1980's i don't think it is being manufactured as of late.
 
Back
Top Bottom