Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njooni mpige ngoma ya kizee Somalia, we don't talk to much, we act! Alafu kumbuka UG sahi hamuwawezi, sio Iddi Amin M7! 🤣 🤣 🤣
View attachment 1830416
View attachment 1830417
View attachment 1830420
Unatuwekea Landrover!!! Mzee umeishiwa nguvu. Ita watu wakusaidia
Mashine hizo kijana
JWTZ ni moto

1624692273840.png

1624692311963.png

1624692360804.png

1624692408683.png
 
Uzuri aliyekuwa anayabrag hayo maputo anafahamika.
Yeah, tuko nazo, sasa nyie mnaojiona special ati hamuwezi tumia bla bla bla,, unaona venye nimewaumbua huko kwenyu? Alafu askari wenyu hawana zoezi, vitambi 5G na hata sio commander wala nini, je akipanda cheo, si kitabasti hicho kipira??😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Yeah, tuko nazo, sasa nyie mnaojiona special ati hamuwezi tumia bla bla bla,, unaona venye nimewaumbua huko kwenyu? Alafu askari wenyu hawana zoezi, vitambi 5G na hata sio commander wala nini, je akipanda cheo, si kitabasti hicho kipira??
Kutuumbua kwenye nini?

Ndio maana mna jeshi dhaifu east and Central Africa mnashindwa hadi na vinchi vidogo kama Rwanda na Burundi

Nendeni Somalia mkamuokoe mwenzenu aliyeshikiliwa mateka miaka na miaka.
 
We're dealing with international terrorists, the likes of Alqaeda & BOKO HARAM, nyinyi bado mnashindana na wanamgambo? 😂 😂 😂
 
🤣 🤣🤣unaanza kuleta makopo sasa mzee. Yaani upambane ya combat helicopter kwa kutumia takataka hiyo.

It called UZI
View attachment 1830219View attachment 1830220
😳 😳 😳 😳😳😳😳😳 Who in this world goes using an UZI??? Daaaaaaaah, Kweli wabongo hawana bongo. Who on this world can think of UZI in matters military ???

UZI is a gun that has no range nor target. For you to achieve your target shooting it shoots many bullets at a go to increase the chance. Which military does that??? One person with an M5 will kill a battalion of 100 men with UZIs
 
utadhani muskiti kumbe soko? 😂 😂 😂 😂 😂 ,
wacha niziweke pamoja, mwenye macho haambiwi tazama., Kiswahili kando, picha zinajieleza vizuri sana.., mall hakuna nje ya Dar😂😂😂
View attachment 1830427
View attachment 1830431
V/S

View attachment 1830428
View attachment 1830435
Mzee umeweka local market. Hiyo building does not deceive to be a mall. Hilo ni jengo la soko la wanawake.

This is kisutu Market we don't call a shopping mall. Kwenu mngeita mall
1624692641873.png

1624692717649.png
 
😳 😳 😳 😳😳😳😳😳 Who in this world goes using an UZI??? Daaaaaaaah, Kweli wabongo hawana bongo. Who on this world can think of UZI in matters military ???

UZI is a gun that has no range nor target. For you to achieve your target shooting it shoots many bullets at a go to increase the chance. Which military does that??? One person with an M5 will kill a battalion of 100 men with UZIs
Naona umekuja kuharisha maneno.
Wewe mshamba wa kibera utajulia wapi UZI.
1624693219922.png

1624693385351.png

1624693443680.png
 
One very big mistake in military is to take this Tanks out for purposes of combat!!! Utazamishwa hata kabla ujue nini inaendelea.

They are slow, easy to target and Zero maneuverability.
Mzee you are talking too much. Are you a pastor!? Unamhubiria nani mshamba wewe!? Nitakuua mimi!! Ebo!!

JWTZ
1624693635495.png

1624693676831.png
 
Tanzanians are funny, funny that they see the bad that is with the neighbor and forgets all their problems.

Watanzania husema wao hulisha Kenya. Ni kama wao hutupa msaada wa chakula. Tunatumia pesa zetu kununua chakula. Kuna nchi kama UAE ambayo chakula karibu chote ina nunua. Hivyo hailishwi ila inajilisha.

La pili. Utapia mlo ni moja kati ya vitu vinavyosababisha vifo vingi Tanzania. Hiyo inamaanisha kuwa watu wengi Tanzania hawana chakula cha kutosha. Ama wanachakula lakini hawajui kulinganisha virutubisho vyote. Mtu ale mihogo kila siku mwaka mzima huku akijidai ana chakula.

Kenya, Diabetes ni moja wapo ya vitu vinavyosababisha vifo, kinyume na Tanzania, Diabetes ni ugonjwa unaotokana na maisha ya kujitozelesha (Lifestyle disease) Nchi nyingi zilizoendelea, moja ya vyanzo vya vifo ni Diabetes.

Hapa Watanzania mjifunze kitu, kwamba nyinyi hufa kwa utapia mlo mara saba zaidi ya Kenya, huku kujidai kwenu na chakula kunawaibisha
tz.JPG

ke.JPG
 
We're dealing with international terrorists, the likes of Alqaeda & BOKO HARAM, nyinyi bado mnashindana na wanamgambo?
International terrorist mavi ya bata.

Umesahau kuwa hao mabwana zenu haitambui alshabab kama magaidi

Wanatambulika kama wanamgambo.
 
😳 😳 😳 😳😳😳😳😳 Who in this world goes using an UZI??? Daaaaaaaah, Kweli wabongo hawana bongo. Who on this world can think of UZI in matters military ???

UZI is a gun that has no range nor target. For you to achieve your target shooting it shoots many bullets at a go to increase the chance. Which military does that??? One person with an M5 will kill a battalion of 100 men with UZIs
Uzi aren't stable at all.. 😂
 
Tanzanians are funny, funny that they see the bad that is with the neighbor and forgets all their problems.

Watanzania husema wao hulisha Kenya. Ni kama wao hutupa msaada wa chakula. Tunatumia pesa zetu kununua chakula. Kuna nchi kama UAE ambayo chakula karibu chote ina nunua. Hivyo hailishwi ila inajilisha.

La pili. Utapia mlo ni moja kati ya vitu vinavyosababisha vifo vingi Tanzania. Hiyo inamaanisha kuwa watu wengi Tanzania hawana chakula cha kutosha. Ama wanachakula lakini hawajui kulinganisha virutubisho vyote. Mtu ale mihogo kila siku mwaka mzima huku akijidai ana chakula.

Kenya, Diabetes ni moja wapo ya vitu vinavyosababisha vifo, kinyume na Tanzania, Diabetes ni ugonjwa unaotokana na maisha ya kujitozelesha (Lifestyle disease) Nchi nyingi zilizoendelea, moja ya vyanzo vya vifo ni Diabetes.

Hapa Watanzania mjifunze kitu, kwamba nyinyi hufa kwa utapia mlo mara saba zaidi ya Kenya, huku kujidai kwenu na chakula kunawaibisha
View attachment 1830498
View attachment 1830501
You are writing an essay. Nani ana muda wa kusoma hiyo report!? Show us what you have.
Mkuki House Mall
1624694197504.png

1624694235372.png

1624694273938.png

1624694325774.png

1624694391881.png
 
Back
Top Bottom