Unateseka ukiwa wapi[emoji1787][emoji1787]Nimesikitika mno. Sisi tunaongelea maendeleo wenyewe wanaongelea.
1. Kwenda kushiriki mbio Japan.
2. Kuwa na mashindano ya magari.
3. Kuweza Ku view mount Kilimanjaro.
4. Swara [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
These guys are stupid. Wakenya akili zao ziliunguzwa na mstari wa ikweta.
Sipati picha vile nairobi itapendeza wakati expressway itaisha.
Lini nyie magufuli aliwapa chakula bure, unafikiria kazi ya serekali ni kulisha wananchi wake..we mpumbavu sana!!ile siku utaskia kenya vyakula vimeisha madukani nitagLow GDP!? Country like Kenya can't feed even its people.
usituchoshe mzee. Huu wimbo wa GDP ni upumbavu wazungu wanawalisha.
Zinaenda kokote kule bila kubughudhiwa, wengine wanaogopa kwenda sehemu flani kisa deni[emoji1787][emoji1787]Whilst some countries have only three old planes to fly [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ufikirie na deni la mchina pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha vile nairobi itapendeza wakati expressway itaisha.
Deni la mchina watanzania pia watalipa lakini views ni zetu 👇 👇 👇 👇 💉Ufikirie na deni la mchina pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kariakoo iko mbali na posta,before posta from kariakoo there are mnazi mmoja and kisutu..to remind you,next time learn how to differentiate area from the distance..Now how can you separate Kariakoo and the CBD in Dar, then where is the CBD??? When you walk around in Dar you get to see that the CBD people refer to is more of Posta and Kariokoo.
Mama ako kaniambia ndo wale waliodondoka na parachute kama avocado zidondokavyo kwenye mtinikujibu kama nani?Nenda kaulize mamako!
KDF ni wazembe sana yaani wanadondoka na machopper daily,na siku nyingine wanadondoka na parachute.. Wanajeshi wao ni unskilled sana,halafu pia serikali yao inapenda sana kununua vitu used..10 soldiers die, 13 hurt as military chopper crash lands in Kenya
THURSDAY JUNE 24 2021
Kenya Defence Forces (KDF) personnel cordon off the scene of the military helicopter crash in Oltepesi, Kajiado West, on June 24, 2021. Ten Kenya Air Force soldiers died in the crash. PHOTO | VINCENT ACHUKA | NMG
ADVERTISEMENT
By VINCENT ACHUKA
More by this Author
Ten Kenya Air Force personnel have died while 13 others sustained injuries after the military aircraft they were in crash landed during training in Kajiado West, south of the capital Nairobi.
According to a statement signed by the Kenya Defence Forces (KDF) Spokesperson Zipporah Kioko, the Mi 171E helicopter crash landed around 9am on Thursday.
Col Kioko added that those who were injured were taken to the Defence Forces Memorial Hospital in Nairobi. Bodies of the 10 soldiers who died in the crash have been moved to Nairobi.
She said aircraft accident investigators were at the scene to establish the cause of the crash.
Kajiado West Deputy County Commissioner Muranga Morakwa said that KDF has been training in the area for a long time.
Prior to the crash, the helicopter circled in the air for over 20 minutes as those on board scrambled to jump out.
10 soldiers die, 13 hurt as military chopper crash lands in Kenya
The Mi 171E helicopter crash landed around 9am in Oltepesi, Kajiado West during training.www.theeastafrican.co.ke
Madhara ya kununua vitu used,government yenyu inapenda sana ubwete yaani kitonga a.k.a mteremko au kamsererekooooUmeanza kuskia leo kwan km helkopta za mafunzo zinapataga ajali
unampa "masongi" komora096 sio?[emoji23][emoji23]View attachment 1829213
Jamaa mbona unaji-quote mwenyewe sasa???!!..hivi we kilaza kweli yaani kila mara unaji-quote tu hahhaaaawatailisha ngombe nyazi na molases, wataipeleka mtoni,.. lakini sisi ndo wa kukamua.. 😆😆
EPZ mbona zipo nyingi huku! 🤣 🤣 🤣 Toeni ushamba hapa
Yale yale tulisema, mji wa cbd kariakoo na uswazi.
Umeona madhara ya kununua vitu used!??..government yenyu inapenda kitonga kununua vitu vilivyokwisha tumika...ona KDF sasa wanavyodondoka kama embe..so sad!EPZ mbona zipo nyingi huku! 🤣 🤣 🤣 Toeni ushamba hapa
Kando na EPZ, kuna mpaka RIVATEX na KICOTEC, both produce high quality garments zinazouzwa mostly Europe and Asia. Angalia vitu Uhunye anavaa mostly shirts, you'll no what am talking about. 😎