Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kindergarten tu hyo idadi uliyoitaja wamepita itakuja wakenya wote[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo unataka kujifanya huyu wewe au co [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1827695
Hata sijaskia vibaya[emoji1787][emoji1787]
Mm sipangiwi jf, naweza weka chochote ninachojiskia kwnye avatar yangu..
Sasa km wewe unateseka shauri yako[emoji2960][emoji2960]
Pole kw kujiumiza kichwa, angalau huo mda uliotumia kuumiza ubongo wako kw mtu ambae humjui si ungelijaribu walau kufikiria hata kupost bafu yako basi
 
Nimekwambia nitafute private kwa muda wako NITAKUFUNDISHA Free sitaki malipo.. hao hawajakukimbia bali wamekudharau, Me ndio nimeona nikuzingatie nikupe darsa kidogo ili uondokane na huo ujinga ulionao..
 
We kumbe ni mpuuzi sana..
Kuna tofauti kubwa sana ya mother tongue na first language basi kw taarifa yako
😂😂☝️ Haujui kitu tulia, sio dhambi kukubali kutojua kitu fulani, mother tongue ndio first language, pitia hapa 👇nimekwambia Kiswahili ni mother tongue kwangu kwasababu, Mimi nimezaliwa mjini kabisa Tanga town, and my parents were not speaking their vernacular languages wao wenyewe wamekutanishwa na Kiswahili, babaangu ni mdigo na mamaangu ni msambaa, kwahyo mimi nimeanza kuongea Kiswahili (first language) kabla sijaanza kuongea lugha yoyote, nimeenda shule kujifunza kusoma na kuandika Kiswahili lakini sio kujifunza kuongea Kiswahili tofauti na wewe umeenda shule kujifunza kusoma, kuandika na kuongea kiingereza, ndio maana najivunia kukijua Kiswahili kwa upana wake.. Na kama bado utakua umekaza fuvu kwamba mother tongue sio first language bas ntakuacha na SWALI ulete majibu. 👇 "Mother tongue is not necessarily to be the mother's tongue, Discuss this statement with six points.
 
Hao watu wa udaku nao ni against Diamond. Hiyo gari sio second hand, ni ndinga mpya kabisa hii apa imepostiwa soma km hizo
wacha ujinga nawe hizo km kwenye odometer watu wanacheza nazo inakaa hujui magari! Huwezi kuniambia ati ni brand new halafu unanunua left hand kutumia Tanzania! Huyu jamaa akae kimya na si kwa kujimwambafai huko! Hizo fedha zake azidundulize na kununua gari moja kali hata kama Mercedes S class moja brand new na si utitiri wa ma-used left hands! Jamaa anahitaji PR mzuri na si kuendeleza league za kipuuzi! Anadai kasaini mkataba wa $ 5 mln yet hawezi kununua gari brand new ya $150,000-200,000! Inaingia akilini? Diamond huyuhuyu tunayemjua? Tangu list ya Forbes jamaa kachanganikiwa kweli! Ila anavyoendelea hivi ndo anazidi kudhihirisha ukweli!
 
Unajua maana ya significant difference kwanza au ndio umekurupuka kuleta tu[emoji1787][emoji1787]
Unajua huku kuna watoto wengi sana ambao english ndio first language kiswahili kwao tabu..
Kwhyo kwao english ndio itakua first language na mother tongue kabisa[emoji1787][emoji1787]
Wasukuma waliozaliwa marekani nao tusemeje, mzee unapoenda google jaribu kuchambua kitu na kukielewa kwanza hii mambo ya ku copy paste ni utahira..

Eti hivi muingereza aliyezaliwa uchina n kukichukulia kichina km first language nae tunasemaje.. sasa kw mikanganyiko km hyo ndio manake wakakuwekea ya kwamba hakuna "significant difference" ikiwa na maana yake hyo[emoji2960][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…