Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu anahesabu levels kama anavyohesabu floors za ghorofa πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Where is the ground level mm nataka unioneshe ground level angali hiii reli πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Umeona sehem ground level ipo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡






hapa hakunq kitu kama hiii πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ukipata sehemu nimetukana nitag 🀣🀣🀣
Umeona grond level ilipoanza πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£ hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
 
Ukipata sehemu nimetukana nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona grond level ilipoanza [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787] hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
View attachment 1827412
Maskini boya, yani unaona kabisa hyo roundabout imetoka kw ground level ndio ikakatiza juu ya hyo main road hapo chini lkn bado umeamua kujitoa ufahamu..

Endelea hvo hvo kuna cheti utakuja pokezwa badae, yani ubongo ukiganda kumbe inakua noma kiasi hichi..

Pole sana kilaza..
Wewe ni wa kupuuzwa tu, manakw unapingana mpka na kitu unachokiona hapo kuna mjadala tena au utahira huo..
Falambwanga
 
Kiswahili chenu lini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

2010 ndio Kunyaland inajua kuna kiswahili duniani wakati kamusi ya kwanza ya kiswahili ipo Tanzania toka 1890 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1827180
Mamaee!!BAKITA mnayoishadadia imeanza 1981[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo 1890 kawadanganye wakulugwa

Tena unajua maana ya official language[emoji1787][emoji1787]
 
Ukipata sehemu nimetukana nitag 🀣🀣🀣
Umeona grond level ilipoanza πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£ hakuna underground hapo yani kwa lugha fupu sukari itabaki sukari na chumvi ni chumvi tu
View attachment 1827412
Akaendelea kujilipua🀣🀣🀣, huoni hapo vile kunacurve downwards, hio inaashiria excavation, alafu levels hasi hesabiwi kama floors za nyumba 🀣🀣🀣,
 
Umeona sehem ground level ipo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1827410





hapa hakunq kitu kama hiii πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1827411
Umeingia mtegoni🀣🀣🀣, huo mstari umeanza kabla ya interchange, hio barabara inashuka chini pole pole ndo maana nimekwambia ukiblink utaikosa. Changamwe three level interchange inakusumbua sana🀣🀣🀣,
 
Kiswahili chenu kipi, toka lini nyie mkawa na lugha.
Umekasirikaee[emoji1787][emoji1787]
Kenya tunatumia kiswahili chetu, tunatumia kile kiswahili ambacho mababu zetu walikitumia tokea enzi za sultan katika mwambao wa pwani..
Poleni sana na "BAKITA" wenu na "swala" wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…