mtu kutoka nchi ya njaa,asante kwa taarifa.
nilikuwa sijui kinacho endelea kwenye page ya wayne rooney,nimeingia kwenye
page yake dakika chache zilizopita.
hakika nilichokiona kinachekesha sana.wakenya mnatoa povu lisilo la kawaida,kisa tu wayne na everton fc kuja LDC.
nilichompendea rooney, hana time ya kujibu ule ujinga wenu mnaoandika kwenye page yake kuhusu tz,amewapuuza.
nyinyi watu ni wajinga sana,wajinga mno.mnatoa povu ilhali tayari mtu alishafika bongo,akalala,akafanya kilichomleta,baadae akarudi zake kwao.
hamjioni kuwa nyinyi ni wajinga wa kiwango cha juu?.SMH.
wakati mnaugulia maumivu ya ziara ya everton na wayne rooney nchini,mkumbuke kuwa usher raymond yupo/alikuwepo LDC kula bata,nendeni pia kwenye page yake mkatoe povu.