Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hilo swali linawafaa hawa! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ndoto ya plot na nyumba unayo??🤣🤣
Hilo swali linawafaa hawa! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ndoto ya plot na nyumba unayo??🤣🤣
Yani umeenda ukaipaka filter kweli umeumia🤣🤣🤣🤣🤣Tumekasirika tayari 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu hakuona slum dar ila alaona slum za dunia nzima manake mzungu hana akili kuliko mkenya 😂😂😂😂😂😂👇👇👇
View attachment 1821606View attachment 1821607
Ni huruma! 💉💉💉💉🤧🤮😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante hasira zikipungua njoo tuendelee kwa sasa naona uko moto mbaya
Unajifanya chizi sio, nioneshe wapi nimekuletea hizo picha hapo juu nifunge account ama ndo unatafuta pakutokea 🤣🤣🤣🤣🤣Kwe kwe kwe ndio yale yale picha za kibera mtu anakwambia dar 🤣🤣🤣👇👇👇 wazee wa blogs 😂😂😂😂😂
View attachment 1821610View attachment 1821611
Huyu bila shaka ni The best 007 akitafuta bundle za JF 🤣🤣🤣🤣🤣Usipinge na ni kwenyu wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 1821620
View attachment 1821621
View attachment 1821622
View attachment 1821623
View attachment 1821624
Two years old girl dying from starvation in Tanzania ...Mbona munakufa na njaa sasa kwann??🤣🤣
Wanajiita "frogmen" 😂😂😂 na ukumbuke frogmen kawaida ni wale military combat divers! 🤣Huyu bila shaka ni The best 007 akitafuta bundle za JF 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1821646
kumekucha,Mbona munakufa na njaa sasa kwann??🤣🤣
Its okay🤣🤣🤣 wacha nicheke bro ni haki yangu
Jamaa wanatia aibuDuuuh jamani njooni muone station ya brt!!!





Ngoja Mafuriko yaje.akili zao kama bataMlemavu on wheelchair anafikaje hapo? Halafu kituo kipo on sunken kerbstone/platform sasa sijui watapanda vp BRT bus?
Jamaa wanakwambia dar lami zimetapakaaNimezoom kidogo picha yako, jiulize kwanini kunaitwa magomeni MAPIPA
View attachment 1821470View attachment 1821471View attachment 1821472
Hawa majamaa wanajikuta ma injinia kweli lkn ni watupu tu ikija katik uhalisia
unapenda kujifariji,,,Hii ndio Magomeni tunapigiwa nayo kelele hapa eti iko na density. Sijui anamaanisha density ya uswazi ama nini
View attachment 1821491View attachment 1821492View attachment 1821493View attachment 1821495View attachment 1821496
Linganisha hiyo Magomeni na Eastleigh below in density in terms of high rise buildings. The difference is like day and night.
View attachment 1821499View attachment 1821501View attachment 1821502View attachment 1821503
Yani Dar hakuna kitu once you step out of that cbd. Ukishatoka nje tu ya cbd hivi ni uswazi mwanzo mwisho



hako kasehemu ni kadogo sana ,,bado kapo local yaani side ya mbelee kulee kulia,kushoto ni open space,,,Kwani pipeline huitaki tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
,View attachment 1821522magomeni mapipa imerambishwa lolo sasa leta kwingine
![]()
View attachment 1821523
Wewe kwa akili yako ya chooni Meru ni sawa na umeruni?Kwani huko kwenu Meru,TZ, hapaishi Wameru😃