Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mapipa imekunyima usingizi 🤣🤣🤣

Picha yako mwenyewe, mimi nimezoom tu sasa wataka kuniua kwanini🤣🤣🤣
IMG_20210617_114118_601.jpg
IMG_20210617_131737_963.jpg
 
Ata Mimi nimeona... 🙆🏾‍♂️🤔🤧😬😬😬Acha kujamba jamba mkuu, staki ushuzi hapa mkulungwa... Ati za Bongo, hivi wewe uko sawa, inakaa jua limekuchoma sana hadi medulla imeanza kuyeyuka humo ndani! 😬😬😬
Bongo kama lala...
View attachment 1821579
View attachment 1821580

Mamtoni sasa...
View attachment 1821581
View attachment 1821582
Naona brt ya bongo sasa inafananishwa na brt za europe, na ndo level zake,brt inawauma sana wakunya na serikali yao
 
Na bado tunapeana msaada wa vitunguu hadi Congo, nyie hadi imports za chupi, toothpicks, furniture, ngotha, hehe zote from China... 😂 😂 😂
Munapeana kwa nani wakat kila mwaka watu wanakufa kwa njaa kenya 🤣🤣🤣
 
Tunawajua nyie wabana pua, mnajilegeza mbele ya waume ili waingie kingi yenyu. Hamna wasi, mtajengewa vya bure tu! 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so umeanza kukasirika au maisha yamekutandika sasa unaanza kutafuta sehemu yakuondolea stress
 
Tumekasirika tayari 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu hakuona slum dar ila alaona slum za dunia nzima manake mzungu hana akili kuliko mkenya 😂😂😂😂😂😂👇👇👇
View attachment 1821606View attachment 1821607
Mimi nimezoom tu, sijaandika chochote lakini mwenzangu ushanaaza kujishuku kwamba hapo magomeni ni slum kwani hujiamini. 🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_20210617_114118_601.jpg
images.jpeg
 
Back
Top Bottom