Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar ikipata barabara za cabro za mitaani nitag[emoji1787][emoji1787]View attachment 1818837View attachment 1818838
Lami ya kupaka ndio uje ulinganishe hadhi na cabro[emoji2960]
Ndo mana nkakulinganisha na mavi, unaambiwa roads nyingi za mitaani za Dar ni lami au zege lkn bado unaleta habari za pavement, c nmeleta humu mara kibao tu roads za street za Dar au unajifanya mwehu.
 
Hehee!!naona umeanza kujamba jamba sasa, pole pole tu na nyie mtakua nazo
 
Baki hapo! 💉💉💉🤣 Vipi lile jengo la Zenji lililoporomoka, mshalijenga tena?
Jengo la kwanza africa mashariki kabla hata nyanya yako mzaa nyaya hajazaliwa🤣🤣
Ujinga wako umepitiliza, sasa nenda ukawajenge hizo bara bara juu ya majumba yao huko Lamu. Hivi unajua kuna nchi wacha hata visiwa, havina Transport system zingine sababu kuu kuwa ziko ndogo sana. Changamka wewe! 🤣 🤣 🤣
haya oneni sasa😂😂😂😂
 
Mm nimekuuliza swali rahisi sana zile hela hua munapata CAF au watever zinaenda wapi ikiwa team kubwa kenya haina hata banda la choo 🤣🤣🤣 hayo maendeleo munaozungumza kila siku yako wapi ??
 
Hehee!!naona umeanza kujamba jamba sasa, pole pole tu na nyie mtakua nazo
Wewe una Mavi kichwani, jiulize km 1 ya lami inajenga km ngp za pavement meffi we [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…