Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

'The best 007'๐Ÿ˜ aje anifunze kiswahili sanifu.. manyoa!
na ata hawezi craft a sentence kwa kingereza.. yeye ni matako sana!
Heb tumalizane Mimi na wewe kuhusu kiswali, upo vizur nikupigie maswali.?
 
'The best 007'๐Ÿ˜ aje anifunze kiswahili sanifu.. manyoa!
na ata hawezi craft a sentence kwa kingereza.. yeye ni matako sana!
Upo vizur nikupige maswali ya kiswahili we jomba.? Au kelele mingi tu ? Lakini huna unachojua
 
LOL your annual collection is 1 trillion halafu mnakuja na budget ya 4 trillion? Hiyo 1 trillion hata kulipa mishahara tu haitoshi

Kenya hutumia 1.2 trillion kulipa mishahara tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ bado kulipa mikopo iliowaganda mpaka matakoni ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wewe hata shule hujaenda, kuwa mpole.
 
Mnataka kusema kila mkenya anajua kiingereza!nishakutana na wakenya kibao abroad hawajui kiingereza
 
Kibera isn't only the biggest slum in Nairobi, but the Biggest slum in Africa, and world at Large,
Remember there are 2.5m inhabitants in Nairobi slums, accounting for 60m population of Nairobi.
This just shows your level of ignorance. Kibera might be the biggest in Africa but not the biggest in the world. Have you heard of the following slums?
1.Dharavi in Mumbai India
2. Neza in Mexico
3. Orangi Town in Karachi Pakistan
Do you know how big they are?

Secondly, Kibera has only about 170k-250k people and it's the biggest. How Nairobi slums in total hold 2.5 million people only you can tell us. Huku hatuna slums everywhere like you have uswazi everywhere down there
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ