dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Mpaka Sasa wanamlaumu Magu,Ngoja Tuone Sasa wamepewa uwanja watafute pesa,tutaona Kama Bado wataendelea kulala😬😬
nyinyi watanzania muwakubali aje wakimbizi, ilhali mliwakataa majirani zenu waburundi juzi walipokumbwa na machafuko,.I pray you survive in the next PEV Genocide coming out in Kenya.
You can alternatively relocate to Tz usikufe kwa kupigwa risasi na polisi au Kukatwa mapanga na Mungiki.
Your budget allocation for infrastructure is meagre,nothing much to show for it!At the same time ndio tunaoongoza kwa miradi ya gharama, je does the budget figures mean anything in ur empty skull?[emoji3517][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwahahaha!!hata idadi ya wale ambao wapo chekechea imezidi hyo[emoji1787][emoji1787]Wenye lugha yao wanawakana, 2 million some how speak it [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1814340
Sio mkenya huyo mkuu, ni mTz aliyetumbuliwa na Magufuli anatumia Id nyingi humu, moja wapo ni Choice Variable nyingine ni Opportunity cost, hakuna mkenya anayemchukia Magu namna hiyo, vita ya Wakenya na Magu ilikuwa ni jinsi Magu aliibana Kenya km nchi so amekufa na Wakenya wala hawana ugomvi naye, Wakenya wengi wanajua Magu alikuwa genius, ila huyo ni mTz mwenye personal attacks kwa Magu, huoni kila siku yeye ni magu tu wala hana habari na lengo la huu uzi.I pray you survive in the next PEV Genocide coming out in Kenya.
You can alternatively relocate to Tz usikufe kwa kupigwa risasi na polisi au Kukatwa mapanga na Mungiki.
Kenya mmebobea zaidi kwenye masomo ya arts, but science and mathematics yana wenyewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mathematics is a problem in TZ,ukiona mtanzania yeyote Humu JF anakoroga maths jua tu alisomea KE,Yani mambo Kama Haya yanarudisha TZ nyuma,Hayafai ata kidogo
Au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yale masoko yenu ndio mnaita brt stations[emoji1787][emoji1787]
Vitu vinakaa wakulima market alafu unakuja kuturingishia hapa
Huko kwenu mpaka leo kuna watu wanaugua cholera,mbona utangazi!Bwahahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jama mpuuzi sana, alikua wapi mda wote huo jamani..
Au ndio kafanikiwa kutibiwa wale minyoo waliomjaaView attachment 1814582
mmetenga pesa ngapi kwa infrastructure? Tuanzie hapoAt the same time ndio tunaoongoza kwa miradi ya gharama, je does the budget figures mean anything in ur empty skull?[emoji3517][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aaaaaah..🙊 eaza eaza brasa!. nili omit '0'.We na wewe umekua Mtanzania?
$3.4b × 107 = Ksh350b
Ksh3.4trillion ÷ 107 = $30b
🤣🤣🤣🤣 nimerudisha nimechukua hiiMagari ya watalii rudisha porini.
🤣🤣🤣🤣🤣 na chenj inabaki ya kula miezi sita[emoji23]hiyo baiskeli tu ananunua Probox kwa msela wake [emoji23][emoji23][emoji23]
So mumedanganywa na jubilee hio ni ppp🤣🤣 hebu niambie serekali imechangia kias gani kwenye hio projectDo do understand the meaning of PPP or it’s lost in translation from English to Swahili!View attachment 1814424
Tutenge nn ss kwn we huoni projects tunazofanya?mmetenga pesa ngapi kwa infrastructure? Tuanzie hapo
Still way better compared to slums in NairobiNasikia watu wanamiliki nyumba za ndoto zao Dar 😀 😀 👇👇View attachment 1814607View attachment 1814608View attachment 1814609
Yani inaonesha wazi magufuli aliwanyima usingizi hawa 😄😄😄 manake hata hawaamini kama yupo au hayupoMasaa 24/7 unalalamikia mwanaume mwenzio ulitaka akuoe au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafsiri PPP kwa Kiswahili kwanza kabla ya kuandika mambo usio yaelewa au kufahamu.I can understand if it’s lost in translation for you and the other clowns!So mumedanganywa na jubilee hio ni ppp🤣🤣 hebu niambie serekali imechangia kias gani kwenye hio project
pia sisi tunaona kiswahili chenu, finyu sana!.Wakunya mnaongea kiswahili kichafu, kibovu kisichovutia na chenye kukera.