Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The war is on, Kenyans you have nothing to show Tanzanians, we are head of you today and we will beat you everything, and absolutely tunapoteza muda wetu kushindana na Kenya, Tanzania wenzetu ni SA, Nigeria, Ghana and Senegal not these Kenyans. Lie those who never visit Kenya (Nairobi) the only you have is JKIA only this, Tanzania also upcoming Terminal III JNIA so endeleeni na mayowe yenu, hiyo ilikuwa nyuma siyo leo.

Post sent using JamiiForums mobile app
Ongea tu kiswahili tutakuelewa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
So habari za kwenu hupikwa za Kenya hazipikwi.......povu 78% mnalala njaa

sent from iPhone 7
We tafuta any international media iliotangaza tanzania kuna njaa hakuna 😀😀😀😀
Niletee habari kutoka bbc au DW ikisema tanzania ilishawah au inanjaa😛😛

Au wapi tanzania wameomba msaada wa chakula
Hebu pitia hapo
Screenshot_20170714-112705.jpg
 
Daily mail - fishing village (dar)
Lowassa - Tanzania haiifikii kenya
Sijui mbna mnapoteza mda hapa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ila hii nchi iko vizuri sana jamani,ndio maana hakuna mkoa niliowahi kwenda nikajutia.

Sony Z3
hiyo ndio tanzania yetu comrade, ambayo daily mail wameiita "fishing village'',hakika ni fishing village.

wakenya(watu wa nchi ya njaa) pia huiita LDC,hakika ni ldc.
 
Nyangau lala kitandani.....hapana tambua mzungu
17a37dd0ebcb6b26aaee25ecee2cec42.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom